Premier Bet
TMDA Ad

Top Stories

Babu mwenye wake watatu afia guest akiwa namchepuko, wake zake wafunguka

on

Mkazi mmoja wa Geita Salumu Bashite anayekadiriwa kuwa na umri wa miaka 65 amefariki Dunia katika mazingira ya kutatanisha baada ya presha kumpanda akiwa chumba  cha kulala wageni akiwa na kademu (Hawara) yake licha ya kuwa na wake watatu.

Tukio hilo la aina yake limetokea juzi majira ya Saa moja  za jioni katika nyumba ya kulala wageni inayojulikana  kwa jina la Mayunga Guest House,  iliyopo Mtaa wa Nyantorotoro Nyankumbu ambapo Mzee huyo aliingia na mwanamke mrembo kwa lengo la kupumzika kwa muda maarufu kama short time.

ALIYEDAIWA KUMPIGA BINTI MAKOFI MSIBANI KISA MTOTO AONGEA

Soma na hizi

Tupia Comments