Waziri wa malisili na utalii Dkt Hamis Kigwangala ametoa siku kumi na nne kwa katibu mkuu wa wizara hiyo kuhakikisha wanakamilisha sheria ya kuunda jeshi USU kwa kuwa suala hilo limekuwa likisuasua, nakusema hayuko tayari kuona anatumbuliwa kwa kushindwa kutimiza wajibu huo
MTANZANIA ALIEOMBA MSAADA CHINA APEWA WA THAMANI YA MILIONI 60, AMTAJA MAGUFULI