Michael Abbink ni moja kati ya waandishi wa habari mahiri ila aliingia kwenye headlines hivi karibuni kutokana na tweet aliyoweka katika account yake ya twitter kuleta maswali. Ikiwa bado siku nne tuweze kushuhudia tuzo ya mchezaji bora wa Dunia ikitolewa January 11 2016 Zurich Uswiss.
Abbink alipost tweet ambayo inaashiria kuwa Lionel Messi tayari ni mshindi wa tuzo hiyo. hivyo watu kuanza kuhoji ni kweli mshindi wa tuzo hiyo atakuwa ni Lionel Messi au mwandishi huyo wa kidachi kaandika kwa utashi wake na sio kwamba jina la mshindi wa tuzo hiyo limevuja.
Oei, dit stond zojuist op de website van de FIFA. MESSI GOUDEN BAL-WINNAAR pic.twitter.com/sq1pSheaVB
— Michel Abbink (@sportzeloot) January 6, 2016
Michael Abbink ni mwandishi wa NU Sport. Stori hiyo ya mwandishi Michael Abbink, shirikisho la soka ulimwenguni FIFA imebidi izikanushe na kuweka ukweli sawa kuwa bado mshindi hajulikana na wala jina la mshindi halijavuja kama ilitangazwa awali.
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyezahapa>>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE