Habari za kupungua kwa mizigo katika Bandari ya Dar es Salaam ziliingia kwenye headlines, baada ya vyombo vingi vya habari kuandika na kuripoti kuhusiana na ishu hiyo, kupitia kwa kaimu mkurugenzi wa mamlaka ya Bandari Tanzania Injinia Alois Matei ameweka wazi sababu za mizigo kupungua.
>>>“Biashara za bandari dunia nzima zimeshuka kipindi hiki kuna mtikisiko kidogo kutokana na uchumi wa dunia, hata juzi tuliongea na wenzetu wa Singapore ambao walikuja, nchi yao ni moja ya nchi inayofanya biashara ya bandari kwa kiasi kikubwa wanasema ni kweli wamekumbana na tatizo hilo”
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO‘ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>> INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE
ULIIKOSA GOOD NEWS YA TRENI YA ABIRIA KUANZA TENA KUPITA RELI YA KATI? BONYEZA PLAY HAPA CHINI