Ushirikina ni jambo ambalo limekuwa likihusishwa au kuchukua headlines kwa kiasi chake katika tasnia mbalimbali ambapo mwimbaji Barnaba wa Bongo fleva alikutana na ripota wa millardayo.com na kueleza jinsi alivyojengeka kiimani na katika kumwabudu Mungu.
B-Boy anasema >>> ‘Mimi ni mtu ambaye naishi kwa Mungu, namwamini Mungu..! hata ukiangalia studio yangu Biblia imetawala na misalaba sababu namwamini Mungu, siamini kwenye ushirikina hata kidogo, wanaoamini ushirikina waache waendelee kuamini ila mimi naamini dua na kutembea na Mungu ni ushirikina tosha, huna hata ya ushirikina mwingine’
Unataka kutumiwa MSG za habari zote kubwa kutoka kwa Millard Ayo? ukiwa na line ya tiGO andika ‘AYO’ tuma kwenda 15510, msg utayotumiwa jibu OK ili uanze kupokea matukio yote kwa sms, pia ungana na Millard Ayo kwenye Twitter, FB, Instagram na YouTUBE wa kubonyeza hapa >>>INSTAGRAM TWITTER FB YOUTUBE.