AyoTV

VIDEO: Kauli ya serikali kuhusu askari wanaofanya mazoezi barabarani

on

Kutoka bungeni Dodoma September 14 2016 Waziri wa mambo ya ndani ya nchi Mwigulu Nchemba alisimama kutolea kujibu swali la mbunge wa viti maaalum CHADEMA Maryam Msabaha aliyetaka ujua sababu za baadhi ya askari polisi kuonekana wakifanya mazoezi katika maeneo ya wazi ikiwemo barabarani.

Kwanza vikosi vya ulinzi na usalama kufanya mazoezi ni sehemu ya maisha yao, hili la kusema kufanya barabarani ni kuonyesha udhaifu wao ukweli ni kwamba hiyo ni sehemu ya kukabiliana na waharifu‘ -Waziri Nchemba

Mwananchi yeyote ambaye havunji sheria hana haja ya kushtuka kwakuwa askari wanafanya hivyo kwa ajili ya wahalifu na mtu asiyekuwa mwalifu hana sababu ya kuogopaWaziri Nchemba

ULIMIS BUNGE KUISHUPALIA SERIKALI, MHASIBU ANAYEMILIKI VIWANJA 25, NYUMBA 11 ATIMULIWA

Soma na hizi

Tupia Comments