Watu ambao idadi yao haijafahamika wamenusurika kifo baada ya gari ya abiria kampuni ya Harambee kuacha njia katika Barabara ya Boma kwenye mnara wa saa Moshi baada yakufeli breki na kwenda kuparamia Magari sita.
Kamanda wa Polisi Kilimanjaro Salum Hamduni amethibitisha tukio hilo na kusema wanamtafuta Dereva wa gari hilo ambae amekimbia.
MAFURIKO DAR: MKASA WA DADA ALIEZAMA NA IST YAKE MTARONI