Gumzo la wiki hii ni Diamond Platnumz kuzaa na Hamisa ambapo baada ya Diamond kukiri kwenye LEO TENA ya CLOUDS FM kwamba ni kweli mtoto ni wake, Baba Mzazi wa Diamond amejitokeza na kumpa ushauri Zari The Boss lady ambae ni mama wa watoto wawili na Diamond…… bonyeza play hapa chini kumtazama.
VIDEO: Tazama hapa chini ushauri wa Baba Diamond baada ya Diamond kukiri kuzaa na Hamisa, bonyeza play kutazama