Ni habari kutoka kwenye Gereza la Ukonga Dar es salaam ambapo baada ya msamaha wa Rais Magufuli kwenye sherehe za miaka 56 ya Uhuru kwa Wafungwa, Wanamuziki Babu Seya na Papi Kocha wameachiwa na gereza hilo jioni hii.
Wanamuziki hao walihukumiwa kifungo cha maisha gerezani June mwaka 2004 baada ya kupatikana na hatia ya kubaka na kulawiti Watoto .
HD VIDEO: JPM ALIVYOTANGAZA KUWASAMEHE BABU SEYA NA PAPI KOCHA.. BONYEZA HAPA CHINI KUTAZAMA
BREAKING: JPM AMEAGIZA KUACHIWA HURU KWA BABU SEYA NA PAPI KOCHA, BONYEZA PLAY HAPA CHINI KUJIONEA