Hospital ya Rufaa ya Kanda ya Bugando imefanya upasuaji mdogo kwa mtoto Chiku Kudona anayesumbuliwa na tatizo la kichwa kukua sababu iliyopelekea Baba na Mama yake kujiua Mkoani Tabora kwa kushindwa kumudu gharama za matibabu.
Kufuatia taarifa iliyotolewa na Mwanafamilia wa marehemu ya Hospitali ya Bugando kuhitaji Mil.2.68 Mkurugenzi Mkuu wa Hospital hiyo Prof. Abel Makubi ametoa taarifa kuhusu kiasi hicho
“Hatujawahi kuwa na kiwango cha kuchaji operation yoyote kwa Milioni 2.68” Prof. Makubi