April 23, 2019 Serikali kupitia kwa Naibu Waziri wa Uchukuzi na Mawasiliano Mhandisi Atashasta Nditiye amelieleza Bunge kuhusu taarifa zinazoenea kwmaba Serikali imepiga marufuku wananchi kumiliki line za simu zaidi ya moja ni baada ya Mbunge wa Rombo Joseph Selasini kuhoji kwamba Serikali imenukuliwa ikitoa maelekezo hayo kupitia vyombo vya habari.
WAZIRI UMMY AZUNGUMZIA WANANCHI ELFU KUMI WALIOJITOKEZA KUPIMA ‘ITAKUWA NI LAZIMA”