Wakati wa mualiko wa dinner wa balozi wa Tanzania nchini Misri na wachezaji wa Taifa Stars wakiwa wameambatana na benchi la ufundi, kocha mkuu wa Taifa Stars Emmanuel Amunike alipata nafasi ya kuongea mbele ya balozi na kueleza ukweli kuhusiana na misimamo yake na taratibu zake katika soka.
“Kwanza ningependa kumshukuru balozi kwa kutupa heshima hii, nimekuja Tanzania mwaka uliopita mwezi August nimekuwa nikizungumza sana iwe unanipenda au haunipendi ila huwa naongea kuhusiana na ukweli, kwanza ningependa kuwashukuru wachezaji wamejitoa sana”>>>Emmanuel Amunike
VIDEO: Tanzania yatolewa kinyonge AFCON, Hii ndio kauli ya Samatta