Yapo mambo mengi ambayo katika hali ya kawaida ni ngumu sana kufahamika kwa watu wengi na wakati mwingine yanapowekwa wazi huwa pia ngumu kuaminiwa hivyo huhitaji ufafanuzi wa kina kwa wataalam.
Kwa msaada wa wataalam wa fani mbalimbali wakiwemo wanasayansi, wanasaikolojia, wachumi na watafiti, leo April 14, 2017 nimekukusanyia jumla ya mambo 13 ambayo huenda ulikuwa huyafahamu yote au baadhi yake ambapo unaambiwa 75% ya wanawake huuliza maswali ambayo majibu tayari wanayo.
#UNAAMBIWA Kulala pembeni ya mtu unayempenda, huondoa msongo wa mawazo, inaongeza muda wa kuishi, na inakufanya upate usingizi kwa haraka pic.twitter.com/L1Rp6iEvoK
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Kwa wastani mtu anakuwa na marafiki wa karibu sana watatu mpaka watano, na kawaida humchukia mmoja kati ya marafiki zake hao pic.twitter.com/I4p8b158i9
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA 75% ya wanawake huwa wanauliza maswali ambayo majibu tayari wanayo, kuwa makini unapojibizana naye au mwambie ukweli wa kila kitu pic.twitter.com/Ef2I9Qu5AU
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Kama tu una uwezo wa kula milo mitatu bora kila siku kwa zaidi ya wiki 3 mfululizo, wewe ni kati ya 15% ya matajiri duniani pic.twitter.com/XWVXam8eq3
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Ukitaka kujua tabia ya mtu unayetoka naye out au unataka kuwa naye karibu, angalia namna anavyowajibu wahudumu wa eneo mlilopo pic.twitter.com/xkzj8maGLY
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Kwa mujibu wa utafiti, watu wengi hasa Maboss hawachukui ushauri kwa watu wenye akili, huwasikiliza zaidi watu wanaoongea sana pic.twitter.com/y3C3Dn1gMk
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Kila wakati, 0.7% ya idadi ya watu duniani wanakuwa wamelewa, ina maana kwamba takribani watu milioni 50 wamelewa kwa muda huu pic.twitter.com/QU4PmpRgzm
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Wanawake wana hisia za maumivu zaidi kuliko wanaume, lakini wana uwezo wa kuvumilia mara nyingi zaidi kuliko wanaume pic.twitter.com/FkTVIk2rNp
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Kwenye ubongo wa binadamu yeyote, kupoteza usiku mzima bila kulala, hakuna tofauti na mtu aliyekunywa pombe na kulewa chakari pic.twitter.com/foleuV4sa8
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Watu wasiotandika vitanda vyao huwa na tabia ya kulala vibaya hata kuanguka vitandani wakati mwingine pic.twitter.com/fDLIRcvCRd
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Kila siku inapopita, kuna Sigara zipatazo Bilioni 15 zinavutwa duniani kote pic.twitter.com/xeRp5EPsMF
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Utafiti wa mwaka 2017 umeonesha kadri mtu anavyotumia muda mwingi kuchat Facebook ndivyo anavyozidi kujisikia vibaya kihisia pic.twitter.com/thX4P5YVGP
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
#UNAAMBIWA Rais Robert Mugabe wa Zimbabwe amewahi kutajwa kama Rais msomi zaidi duniani, mpaka April 25, 2015 alikuwa na Degree zaidi ya 20 pic.twitter.com/Op5giE74y6
— millardayo (@millardayo) April 13, 2017
FULL VIDEO: Show ya kwanza ya Navy Kenzo waliyoifanya Club Barbie, Israel. Bonyeza play kutazama.