Billionea Saniniu Laizer amefunguka nakusema ameridhika na bei aliyopewa na serikali billion 4.8 baada yakuuza madini ya Tanzanite ,nakusema wanaosema amedanganywa ni waongo na wanataka kuwaibia kwa kuwa serikali ipo vizuri na wachimbaji wadogo hasa Rais John Magufuli
“Sisi tumeridhika na serikali kwa sababu ni kitu ambacho hakina dhuluma yeyote,hao wanaoongea kwamba madini yanadanganywa laizer hao wanataka kutuibia”-Billionea Laizer