Leo January 5, 2018 Nimekusogezee video mpya ya ngoma “Family Feud’ ya Rapper Shawn Corey Carter (Jay Z) akiwa amemshirikisha mke wake Beyonce Knowles-Carter ni wimbo kutoka kwenye albamu yake ya 4.4.4. Karibu uiweze kuitazama hapa chini usisahau kutoa comment yako.
VideoMpya: Jay Z na mkewe Beyonce wametusogezea “Family Feud’ karibu uweze kuitazama

Leave a comment
Leave a comment