Habari kubwa Magazetini Kenya leo January 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania January 1, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo January 1, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam January 1, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Serikali itaendelea kuunga mkono matamasha :Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi amesema Serikali itaendelea kuunga Mkono Matamasha yenye Manufaa na tija kwa Ukuaji wa Uchumi wa nchi. Rais Dk.Mwinyi ameyasema hayo alipojumuika…
JKCI imefungua tawi jipya katika jengo la Oyster Plaza
Taasisi ya Moyo Jakaya Kikwete (JKCI) imefungua tawi jipya kuwapa wananchi nafasi kuwa karibu na huduma ili pale wanapopata changamoto za kiafya wasichukue muda mrefu kufuata huduma zilipo. Tawi hilo…
Rais Samia awakumbuka wenye uhitaji Morogoro sikukuu ya mwaka mpya 2025
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Dokta Samia Suluhu Hassan ametoa msaada kwa watu wenye uhitaji kwenye kituo cha walemavu Amani Kilichopo Chamwino Manispaa na Mission the homeless Kihonda.…
Wanajeshi wapatao 23 wa DRC wahukumiwa kifo kwa uasi
Wanajeshi wapatao 23 wa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo wanakabiliwa na adhabu ya kifo au vifungo vya miaka 10 hadi 20 jela. Ni baada ya kufikishwa mahakamani kwa mashitaka ya…
Rais wa zamani wa Marekani Jimmy Carter, afariki akiwa na umri wa miaka 100
Rais wa zamani Jimmy Carter, mkulima wa karanga na gavana wa jimbo la Georgia kabla ya kuwa rais, amefariki akiwa na umri wa miaka 100. "Mtu wa kanuni" kwa mujibu…
Xi aahidi ‘amani ya dunia’ katika ujumbe wa Mwaka Mpya kwa Putin
Rais wa China Xi Jinping aliapa kuendeleza "amani ya dunia" katika ujumbe wa Mwaka Mpya kwa mwenzake wa Urusi Vladimir Putin, vyombo vya habari vya serikali viliripoti Jumanne. "Haijalishi jinsi…
Watu 5 wanaohusishwa na kifo cha Liam Payne kizimbani
Jaji mmoja nchini Argentina ametia saini mashtaka ya kuendelea na kesi dhidi ya watu watano wanaohusishwa na kifo cha kusikitisha cha aliyekuwa mwanamuziki nyota wa One Direction, Liam Payne. Wawili…
Angelina Jolie na Brad Pitt wafikia makubaliano ya talaka baada ya miaka 8
Angelina Jolie na Brad Pitt wamefikia makubaliano ya talaka yao, wakili wake alisema Jumatatu, na kuleta mwisho wa moja ya talaka ndefu na zenye utata katika historia ya Hollywood. Wakili…