Viongozi wa CCM Pwani waibuka na malalamiko baada ya mgombea kushindwa
Siku chache baada ya kufanyika uchaguzi wa serikali za mitaa, vijiji na vitongoji hapa nchini, viongozi wa Chama cha Mapinduzi (CCM) tawi la Mtambani kata ya Mapinga Wilaya ya Bagamoyo…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 11, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 11, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 11, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 11, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mawaziri Zanzibar kushindana kula Samaki Jodari 10 KG
Rais wa Zanzibar na mwenyekiti wa baraza la Mapinduzi Mhe.Dk .Hussein Ali Mwinyi anataraji kuwa mgeni rasmi wa tamasha la Vumba linalotaraji kufanyika Disemba 31 visiwani Zanzibar Tamasha hilo linataraji…
Paul Pogba kuhamia Marseille ili kurejesha nafasi ya kuichezea Ufaransa – ripoti
Marseille wana nia ya kutaka kumsajili Paul Pogba katika dirisha la uhamisho la Januari 2025, kwa mujibu wa RMC Sport. Mfaransa huyo aliondoka Juventus hivi karibuni baada ya kukatisha mkataba…
Mo Salah na Virgil van Dijk hawana nia ya kuzungumza na vilabu vipya
Nyota wa Liverpool Mo Salah na Virgil van Dijk wameweka wazi kuwa "hawana nia" ya kuondoka katika klabu hiyo, licha ya kuweza kukubali uhamisho wa bure na vilabu nje ya…
Huenda Cristiano Ronaldo akakipiga na Al Ahly 2025
Wajumbe wa bodi ya klabu ya Al Ahly wamependekeza kwa Rais wa klabu hiyo Mahmoud El Khatib kujaribu kumsajili mchezaji wa Al Nassr na Timu ya Taifa ya Ureno Cristiano…
Wagombea wa CHADEMA ambao walienguliwa uchaguzi ulipita ni sawa na 60%
Mwenyekiti wa CHADEMA Taifa, Freeman Mbowe, amesema Wagombea wa CHADEMA ambao walienguliwa kwa mizengwe na Wasimamizi wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa upande wa Uenyekiti wa Kijiji ni 6,263 kati…
Kylian Mbappe anadai aliiba ndoto ya kaka yake Ethan na uhamisho wa majira ya joto.
Kylian Mbappe amekiri kwamba ameiwahi ndoto ya kaka yake Ethan ya kuwa mchezaji wa PSG kwa kuondoka klabu msimu huu wa joto. Aliiambia AS: “Nilimwambia Ethan: kama ungependa kubaki, nitafanya…
Mukhtar Ali akataa kuongeza mkataba wake na Al-Nasr
Abdullah Al-Khaibari, kiungo wa kati wa klabu ya Al-Nasr, alikataa ofa yenye thamani ya riyal milioni 27 za Saudia, ili kuongeza mkataba wake, ambao unamalizika Juni ijayo. Kwa mujibu wa…