Mchekekeshaji Molingo afariki dunia usiku wa kuamkia leo.
Kijana Frank Patrick (Mchekeshaji wa Mtandaoni ) Maarufu Kama Molingo (17) Mkazi wa wilaya ya Chato , Mkoani Geita amefariki Dunia usiku huu akiwa nyumbani kwao Chato ambako alikuwa akiuuguzwa…
Ruvuma Toyota Festive 2025 kukutanisha magari zaidi ya 5000
Zaidi ya magari 5,000 aina ya Toyota yatashiriki kwenye Tamasha kubwa la Utalii mkoani Ruvuma (Ruvuma Toyota Festive) litakalofanyika tarehe 25 Juni 2025. Aidha Tamasha hili linatarajia kuwakutanisha watu kutoka…
Njombe waadhimisha miaka 63 ya Uhuru wa Tanganyika kwa kupanda miti
Katibu tawala mkoa wa Njombe Judica Omari, amewataka wananchi mkoani humo kutoa ushirikiano kwa viongozi wa serikali za mitaa na vijiji ambao wameanza kazi baada ya kukamilika kwa zoezi la…
Millen Magese amkabidhi aliyeibuka mshindi wa Samia Fashion Festival Zanzibar mwaka 2024 Tsh mil 3
MWANAMITINDO wa Kimataifa Millen Happiness Magese amekabidhi kitita cha Sh.milioni tatu kwa Mwanamitindo Elizabeth Masuka aliyeibuka mshindi wa Samia Fashion Festival Zanzibar mwaka 2024. Millen Happiness Magese aliyekuwa Jaji Mkuu…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 10, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 10, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 10, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 10, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Khanga vazi la utamaduni linalotumika kama chombo cha mawasiliano
Vazi la utamaduni la khanga ambalo asili yake ni Afrika Mashariki limeanza kutumika miaka mingi iliyopita katika makundi mbalimbali ya jamii ambapo hadi leo ni vazi ambalo pamoja na mabadiliko…
Zanzibar Yachukua Nafasi ya Makamu wa Rais wa EALS
Katika hatua muhimu kwa Zanzibar, Masoud Salim ameapishwa kuwa Makamu wa Rais wa Jumuiya ya Wanasheria wa Afrika Mashariki (EALS), chombo kinachoongoza kwa wataalamu wa sheria katika ukanda huu. Salim,…
Jay-Z ashtakiwa katika kesi ya kumbaka msichana wa miaka 13 mwaka 2000 pamoja na Sean ‘Diddy’ Combs.
Jay-Z, rapa nyota na mjasiriamali ambaye jina lake halisi ni Shawn Carter, alishtakiwa katika kesi Jumapili ya kumbaka msichana wa miaka 13 mnamo 2000 akidaiwa pamoja na Sean "Diddy" Combs.…
WHO yafanya uchunguzi wa mlipuko mpya wa ugonjwa usiojulikana Kongo
Shirika la Afya Duniani WHO limesema hapo jana kuwa linaendelea na uchunguzi kuhusu mlipuko wa ugonjwa usiojulikana uliogundulika nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo. Katika mkoa wa Panzi, ulioko zaidi…