Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 9, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 9, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 9, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Tanzania Yaiandika Historia: Wanafunzi wa Arusha Science Wapata Ushindi wa Kimataifa
Tanzania imeandika historia kubwa baada ya wanafunzi wa Shule ya Sekondari Arusha Science kushinda tuzo nne za heshima katika mashindano ya kimataifa ya Ufanisi kwa Vijana (Junior Achievement) yaliyofanyika nchini…
TASAC yakazia uboreshaji huduma za abiria Liuli,Njambe na Manda
Bodi ya Wakurugenzi ya Shirika la Uwakala wa Meli Tanzania (TASAC) imeelekeza Mamlaka ya Usimamizi wa Bandari Tanzania (TPA) kujenga jengo la abiria vyoo pamoja kuweka mnara wa taa utakaosaidia kuongoza…
Wafungwa waachiwa huru baada ya mapinduzi Damascus
Waasi wa Syria walitangaza kuwa wamemuondoa madarakani Rais Bashar al-Assad baada ya kutwaa udhibiti wa Damascus siku ya Jumapili, na kumlazimu kukimbia na kumaliza miongo kadhaa ya utawala wa kiimla…
Waasi wafanya mapinduzi nchini Damascus,watangaza kwenye Televisheni
Serikali ya Syria ilianguka mapema Jumapili katika mwisho wake wa kushangaza wa utawala wa miaka 50 wa familia ya Assad, baada ya mashambulizi ya ghafla ya waasi kuvuka eneo linaloshikiliwa…
Mkurugenzi wa michezo wa Manchester United Dan Ashworth anaondoka baada ya miezi mitano pekee
Dan Ashworth ameacha wadhifa wake kama mkurugenzi wa michezo katika klabu ya Manchester United baada ya miezi mitano tu, klabu hiyo ilithibitisha Jumapili. Ashworth aliwasili rasmi mwezi Julai baada ya…
Transfoma ya Tanesco yaungua na kuleta hasara Arusha,wananchi wafunga maduka
Maduka ya wafanyabiashara zaidi ya kumi na nyumba za kulala wageni pamoja biashara mbalimbali zinadaiwa kufungwa kutoka kwa kukosekana kwa umeme kwa zaidi ya siku 4 huku chanzo kikidaiwa ni…
Aondolewa uvimbe Kilogram 10 kwenye mfuko wa mayai uliomzuia kushika ujauzito
Madaktari Bingwa wa Magonjwa ya wanawake na uzazi kutoka Hospitali ya Rufaa ya Mkoa ya Temeke mnamo tarehe 3 Disemba, 2024 wamefanikiwa kumfanyia upasuaji Mwanamke mmoja ambaye jina lake limehifadhiwa…
Shilingi milioni 80 zatolewa kwenye miradi 20 ya kibunifu ya biashara kwa wanafunzi kutoka vyuo vikuu 10 nchini
Shirika la Umoja wa Mataifa la Mpango wa Maendeleo (UNDP) kwa kushirikiana na Taasisi ya Uwezeshaji Vijana ya StartHub Africa kupitia programu ya ‘YouthIgnite Student Founders Fellowship’ imefanya uwezeshaji wenye…