Waajiri na viongozi ofisi za umma wapewa neno,matumizi ya Kiswahili Sanifu na Fasaha katika nyaraka mbalimbali
Katibu Mkuu wa Wizara ya Utamaduni, Sanaa na Michezo Gerson Msigwa amewataka Waajiri na Viongozi katika ofisi za umma kuwapa fursa Waandishi Waendesha Ofisi (Masekretari) kuwasidia katika uandishi kwa kutumia…
Wafanyakazi wa Ndani waomba kupewa mikataba ya ajira
Wafanyakazi wa ndani wameiomba Serikali kuhakikisha inaweka sheria maalum ya kuwabana waajiri wao ili waweze kupata Mikataba ya ajira. Wakizungumza katika kongamano la kupinga Ukatili lilioloandaliwa na shirika lisilo la…
Eng. Mwajuma amtaka mkandarasi Sinohadro kuongeza Kasi ujenzi bwawa la kidunda.
Katibu Mkuu Wizara ya Maji Eng. Mwajuma Waziri amemtaka Mkandarasi anayetekeleza mradi wa ujenzi wa Bwawa la Kidunda Sinohydro kuongeza kasi ya ujenzi wa mradi huo na kuukamilisha kwa wakati…
Kilombero Festival kuchochea Utalii na kuvutia wawekezaji
Katika kuendeleza kutangaza vivutio vya utalii na utunzaji wa mazingira nchini Wilaya ya Kilombero iliyopo Mkoani Morogoro imefanya tamasha maalum linalofahamika kwa jina la Kilombero Festival ambalo limejumuisha taasisi mbalimbali…
Udumavu shuleni wakutanisha Wizara Saba mkoani Morogoro.
Kutokana na hali ya udumavu nchini Wizara saba cana nchini pamoja na taasisi za utafiti zimekutana kwenye kikao kazi cha Wataalam katika kujadili masuala ya huduma za afya na lishe…
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 8, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 8, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Dr Mathayo atimiza ahadi zake Same, amwaga mamilioni ya fedha
Mbunge wa Same Magharibi, Mhe. David Mathayo,ameanza ziara ya siku sita katika jimbo la Same Magharibi na kuanza kutekeleza ahadi alizozitoa kwa wananchi wake. Akianzia kijiji cha Nasuro kata ya…
Uzinduzi Samia Supa Cup Msasani usipime, Naghesti amwaga vifaa kwa timu
Mashindano ya Samia Supa Cup ya Kata ya Msasani yameanza kwa vishindo huku huku Diwani wa Kata hiyo, Luca Neghest akimwaga vifaa vya michezo kwa timu mbalimbali. Mashindano hayo yalizinduliwa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 7, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 7, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 7, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.