Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 6, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 6, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
VideoMPYA: Rhino The Don anakukaribisha kwenye ‘One more time’
Rhino The Don anaenda kumaliza mwaka 2024 kibabe anakukaribisha kutazama video ya ngoma yake mpya inaitwa ‘One more time’ https://youtu.be/8jsTnSqrW6o?si=zwvywcvNUhNXN2lI
UNICEF yazindua mpango wa kuwasaidia watoto walioathirika na mizozo duniani
Shirika la watoto duniani, UNICEF, limezindua mpango wa kuchangisha kiasi cha dola za Marekani bilioni 9.9 kwa ajili ya mwaka ujao ili kutoa msaada kwa mamilioni ya vijana na watoto…
WHO laishutumi Israel kwa mauaji ya Kimbari huko Gaza
Shirika la haki za Binadamu la Amnesty International limeeleza kuwa Israel inatekeleza mauaji ya kimbari dhidi ya Wapalestina katika ukanda wa Gaza kulingana na ripoti yake iliyotolewa mapema leo hii…
Aliyemuua mpenzi wake kwa kumfungia ndani ya begi afungwa maisha jela
Mwanamke mmoja wa Florida aitwaye Sarah Boone hatimaye amehukumiwa kwenda jela maisha kwa Kumuua Mpenzi wake kwa kumfungia kwenye sanduku la nguo kwa masaa kadhaa hadi kufa, Jaji wa Mahakama…
Serikali yapiga marufuku matangazo ya vyakula vyenye sukari,tunapambana na uzito mkubwa kwa watoto
Serikali ya Uingereza imepanga kupiga marufuku matangazo ya Televisheni ya Vyakula vyenye sukari nyingi kama vile burgers, muffins na vyakula vingine vinavyosadikika kama vyakula vibaya kwa afya (junk food) kwa…
Wabunge wa upinzani Korea Kusini kupiga kura kumfungulia mashtaka Rais
Wabunge wa upinzani nchini Korea Kusini wamesema watapiga kura ya kumfungulia mashtaka Rais Yoon Suk Yeol kwa jaribio lake la kutangaza sheria ya kijeshi. Hayo yanajiri wakati waziri wa ulinzi…
Polisi wa Korea Kusini yaanza kumchunguza rais baada ya madai ya uasi
Rais wa Korea Kusini, Yoon Suk Yeol, anakutana na uchunguzi wa polisi kwa madai ya kuchochea uasi kutokana na juhudi zake za kutangaza hali ya kikatili (martial law) kwa lengo…
Katika operesheni maalum, Israeli yapata mwili wa Mateka kutoka Gaza
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alitangaza katika taarifa yake Jumatano kwamba mwili wa mateka umepatikana kutoka Ukanda wa Gaza. "Katika operesheni maalum, mwili wa mateka Itay Svirsky, ambaye alitekwa…
Wanawake 13 wafungwa jela miaka 4 kwa kufanya biashara ya ubebaji mimba
Wanawake 13 kutoka Ufilipino wamehukumiwa kifungo cha miaka minne jela na Mahakama ya Mkoa wa Kandal Nchini Cambodia baada ya kupatikana na hatia ya kujihusisha na biashara ya kubeba mimba…