Enzo Maresca atoa onyo kwa Noni Madueke
Enzo Maresca anasema winga Noni Madueke "lazima afanye kazi zaidi" ili kupata nafasi katika kikosi cha Chelsea, licha ya kufunga bao katika ushindi wa 5-1 dhidi ya Southampton. Mchezaji wa…
Dkt. Biteko Amwakilisha Rais Samia Kufunga Mkutano AAAG
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Mhe.Dkt. Doto Biteko amewaasa wahasibu barani Afrika kuisimamia taaluma yao kikamilifu ili kuendeleza umuhimu na mchango na ukuaji wa uchumi duniani. Ameyasema hayo…
Mkutano wa Mwaka wa Madini na Jiolojia wafanyika Tanga wasisitizwa kufanya utafiti na uvumbuzi wa rasilimali
Sekta ya madini nchini Tanzania kwa mwaka 2023/2024, makusanyo yameongezeka kwa asilimia 300 kufikia shilingi bilioni 700 kutoka bilioni 161 mwaka 2021. Ongezeko hili linaonyesha juhudi za serikali kupitia Wizara…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 5, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 5, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 5, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Waziri Silaa afika kijiji kisichokuwa na mawasiliano ya simu tangu uhuru
Waziri wa Habari, Mawasiliano na teknolojia ya Habari Mhe. Jerry Silaa amemtaka mtendaji mkuu wa Mfuko wa Mawasiliano kwa Wote (UCSAF) kuhakikisha anasimamia ujenzi wa mnara yote 758 nchini Ili…
Taasisi ya GSM Foundation yaendelea kuchangia jitihada za Serikali katika uhifadhi wa taka kwa Shule za Msingi
Katika jitihada zake za kuimarisha utunzaji wa mazingira nakukuza elimu ya uhifadhi wa taka kwa wanafunzi wa shule za msingi, Taasisi ya GSM Foundation imetoa msaada wa vifaavya kuhifadhia taka…
Wanafunzi wa Tanzania Washiriki Kambi ya Utafiti wa Vipaji vya Kidigitali
Wanafunzi wa Tanzania Washiriki Kambi ya Utafiti wa Vipaji vya Kidigitali ya Huawei Kusini mwa Jangwa la Sahara nchini China (leap digital study) Shenzhen, ( Uchina) Huawei kwa mara nyingine…
Suala la matumizi bora ya nishati liwe kwenye mipango yetu ya Serikali:Dkt Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa suala la matumizi Bora ya Nishati linapaswa kuwepo kwenye mipango ya Serikali katika nchi za Afrika Mashariki…
Happy Birthday Clouds/asante kwa tafuu
Ni miaka 25 toka kuanzishwa kituo cha utangazaji wa radio ya watu CloudsFM ambayo ilikuwa ni December 2 lakini imeamuliwa kusherehekea leo hii ambapo Mkurugenzi Mkuu Joseph Kusaga amechagua kuwa…