Mamlaka ya Ngorongoro yazindua kampeni hii,watanzania watakiwa kwenda hifadhini
Mamlaka ya Hifadhi ya eneo la Ngorongoro (NCAA) imezindua msimu wa kampeni ya kuhamasisha utalii kwa wananchi kuelekea msimu wa sikukuu za mwisho wa mwaka yenye kauli mbiu isemayo _MERRY…
UN yatafuta dola bilioni 47 kwa ajili ya msaada mwaka 2025
Umoja wa Mataifa umetoa wito wa zaidi ya dola bilioni 47 kutoa msaada muhimu mwaka ujao, na kuonya kwamba kuongezeka kwa migogoro na hali ya hewa itaacha mamia ya mamilioni…
Israel yawateka nyara Wapalestina 10,000 hadi sasa,Wanaharakati wamgeukia Netanyahu
Wanaharakati nchini Israel wamemtaka Netanyahu kukubaliana na makubaliano ya kusitisha mapigano na kubadilishana mateka na wafungwa, lakini wanalalamika kuwa badala yake amezuia kwa makusudi mpango wowote unaowezekana. Wengi wanadai kwamba…
Trump aonya ‘malipo mabaya’ ikiwa mateka huko Gaza hawataachiliwa kabla ya Januari 20
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ametishia makundi ya upinzani katika Gaza inayozingirwa na athari kubwa ikiwa mateka hawataachiliwa kufikia wakati atakapoingia madarakani. Tishio la Trump siku ya Jumatatu linakuja…
Namibia yamchagua rais wa kwanza mwanamke
Namibia imemchagua rais wake wa kwanza mwanamke, Netumbo Nandi-Ndaitwah, 72, makamu wa rais wa sasa kutoka chama tawala, tume ya uchaguzi imetangaza siku ya Jumanne jioni, Desemba 3. Makamu wa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 4, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 4, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 4, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 4, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Wadau mkutano wa UNCDF waishauri Serikali kudhibiti ubora wa vifaa vya nishati
Wadau wa Nishati Safi ya kupikia nchini, wameitaka Serikali kutunga sera ili kuwabana wanaoingiza vifaa visivyo na ubora kwa matumizi mbalimbali ikiwemo kupikia. Hayo yamesemwa Jumatano Desemba 4, 2024 katika…
DRC: Takriban watu 10 wameuawa na wengine kadhaa kutekwa nyara katika shambulio la ADF
Takriban watu 10 wameuawa na idadi isiyojulikana ya wengine kutekwa nyara mashariki mwa Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo (DRC) na waasi wenye itikadi kali wanaohusishwa na kundi la Islamic State,…
Waziri Mkuu ashiriki maziko ya Dkt Ndugulile
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 03, 2024 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine…