Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 28, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 28, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Mgodi wa Barrick North Mara washinda tuzo za Mwajiri bora 2024
Mgodi wa North North Mara uliopo wilayani Tarime mkoani Mara ambao unamilikiwa kwa ubia na kampuni ya Barrick na serikali ya Tanzania kupitia kampuni ya Twiga minerals kwa mara nyingine…
Wadau wapongeza BOT kwa kudhibiti wanaokiuka taratibu za kifedha
Benki ya biashara ya Mkombozi leo Novemba 25,2024 imezindua huduma yake mpya ya wakala wa kimkakati Ili kuwa karibu zaidi ya na wateja wake. Akizungumza kabla ya uzinduzi huo, Padre…
Nimepiga kura nimetimiza haki yangu ya kikatiba :Kapinga
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga leo ameshiriki zoezi la kupiga kura katika Kitongoji cha Mheza kijiji cha Mkumbi Halmashauri ya Mbinga Vijijini ili kuchagua viongozi wa eneo husika.…
Wananchi wa Mwanza jitokezeni kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura :RC Said Mtanda
Mkuu wa Mkoa wa Mwanza Said Mtanda amewataka wananchi wa Mwanza kujitokeza kushiriki katika kutimiza haki ya kidemokrasia na kikatiba ya kupiga kura licha ya kuwepo na hali ya mvua…
Mbunge Nape ametumia usafiri wa pikipiki kwenda kupiga kura
Mbunge wa Jimbo la Mtama, Nape Nnauye akiwa jimboni kwake ametumia usafiri wa pikipiki kwenda kupiga kura Uchaguzi wa Serikali za Mitaa pamoja na mambo mengine amewataka wagombea wote wakubali…
Waziri Mkuu apiga kura kijijini kwake Nandagala
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Novemba 27, 2024 ameshiriki katika zoezi la upigaji kura kuchagua viongozi wa Serikali za Mitaa, Vijiji na Vitongoji, kwenye kituo cha Shule ya Msingi Nandagala,…
Dkt. Faustine Ndugulile amefariki,viongozi watoa pole zao
Salamu za rambi rambi zimeanza kumiminika kwa ndugu, jamaa na marafiki wa Dkt. Faustin Ndugulile, Mbunge wa Kigamboni aliyefariki usiku wa kuamkia Alhamisi Novemba 27. Faustin Ndugulile, ndiye Mkuruguenzi Mteule…
Rwanda yaweka sheria mpya za kuthibiti michezo ya kubahatisha
Bodi ya Maendeleo ya Rwanda (RDB), ambayo inasimamia sekta ya michezo ya kiteknolojia imetoa sera mpya ya kamari nchini humo. Sera inalenga kudhibiti sekta ndogo ya kamari na kupata manufaa…
Polisi wa Ufilipino wamshtaki Makamu wa Rais Sara Duterte na wasaidizi wake wa usalama kwa kumtishia Rais
Maafisa wa polisi wa Ufilipino Jumatano waliwasilisha malalamiko ya jinai dhidi ya Makamu wa Rais Sara Duterte na wafanyikazi wake wa usalama kwa madai ya kushambulia na kutotii amri kutoka…