Waziri Mkuu ashiriki maziko ya Dkt Ndugulile
Waziri Mkuu Kassim Majaliwa leo Desemba 03, 2024 ameshiriki mazishi ya aliyekuwa Mbunge wa Jimbo la Kigamboni na Mkurugenzi Mteule wa Shirika la Afya Duniani Kanda ya Afrika, Dkt. Faustine…
‘Wahitimu rudisheni mikopo’- Waziri Mwigulu
Waziri wa Fedha Dkt. Mwigulu Nchemba amewataka wahitimu wa vyuo vikuu kurejesha mikopo waliyopata kutoka Bodi ya Mikopo ya Wanafunzi wa Elimu ya Juu (HESLB) ili wanafunzi wengine wasio na…
Serikali imetenga Bil 9 ukarabati wa mji mkongwe :Rais Mwinyi
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi, Dk. Hussein Ali Mwinyi ameeleza Serikali imetenga jumla ya shilingi Bilioni 9 kwa ajili ya kufanya ukarabati mkubwa wa majengo yaliyo…
Mtoto amwagiwa Petroli na kuchomwa moto kisa kuiba 800
Mtoto anayesoma Darasa la Tatu katika shule ya Msingi Kasota (9) Mkazi wa kijiji cha kasota Kata ya Bugulula Halmashauri ya wilaya ya Geita Mkoani humo amejeruhiwa kwa kumwagiwa mafuta…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo December 3, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania December 3, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo December 3, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam December 3, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Jenerali Mkunda awavisha nishani Majenerali, Maafisa kwa niaba ya Rais
Mkuu wa Majeshi ya Ulinzi ya Wananchi wa Tanzania Jenerali Jacob John Mkunda kwa niaba ya Mhe Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania na Amiri Jeshi Mkuu Dkt Samia…
3 wafariki, 32 wamelazwa baada ya kula Kasa
Watu watatu wamefariki na wengine 32 wamelazwa hospitalini nchini Ufilipino baada ya kula kasa wa baharini. Maafisa wanasema, makumi ya watu kutoka jamii ya Teduray waliripoti kuhara, kutapika na tumbo…
Takriban watu 50 wanahofiwa kufariki katika mkanyagano uwanjani nchini Guinea
Takriban mashabiki 50 wa soka, wakiwemo watoto, waliuawa katika mkanyagano wakati wa mechi kwenye uwanja wenye watu wengi katika mji mkubwa wa Nzerekore kusini mwa Guinea siku ya Jumapili, wakati…
Ronaldo anataka kubadili dini kuwa Muislamu :Kipa wa zamani wa Al-Nasr
Kipa wa zamani wa Al-Nasr Walid Abdullah alithibitisha kuwa Don Cristiano Ronaldo anataka kusilimu. Walid alisema kwenye kipindi cha “Kikao cha Mwisho” kwenye chaneli ya “Saudi Arabia”: “Sikuogopa kuzungumza mbele…