3 wafariki, 32 wamelazwa baada ya kula Kasa
Watu watatu wamefariki na wengine 32 wamelazwa hospitalini nchini Ufilipino baada ya kula kasa wa baharini. Maafisa wanasema, makumi ya watu kutoka jamii ya Teduray waliripoti kuhara, kutapika na tumbo…
Takriban watu 50 wanahofiwa kufariki katika mkanyagano uwanjani nchini Guinea
Takriban mashabiki 50 wa soka, wakiwemo watoto, waliuawa katika mkanyagano wakati wa mechi kwenye uwanja wenye watu wengi katika mji mkubwa wa Nzerekore kusini mwa Guinea siku ya Jumapili, wakati…
Ronaldo anataka kubadili dini kuwa Muislamu :Kipa wa zamani wa Al-Nasr
Kipa wa zamani wa Al-Nasr Walid Abdullah alithibitisha kuwa Don Cristiano Ronaldo anataka kusilimu. Walid alisema kwenye kipindi cha “Kikao cha Mwisho” kwenye chaneli ya “Saudi Arabia”: “Sikuogopa kuzungumza mbele…
Paris Saint-Germain wanataka kumsajili Salah
Baadhi ya ripoti za vyombo vya habari vya Ufaransa asubuhi ya leo zimefichua nia ya klabu ya Ufaransa, Paris Saint-Germain, kusaini mkataba na nyota wa Misri, Mohamed Salah, mchezaji wa…
Chelsea yaarifu vilabu vitatu juu ya uhamisho wa Mudryk
Chelsea wanadaiwa kuweka wazi kwa vilabu kwamba Mykhailo Mudryk anatazamiwa kupatikana katika dirisha lijalo la Januari. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Ukrain ameshindwa kuonyesha kiwango kizuri alipokuwa Stamford Bridge, na…
Kampuni ya Kijapani yavumbua ‘Mashine ya Kuoshea Binadamu’
Nchini Japan kampuni ya Science Co. imebuni Mashine ya kuogea ya kisasa inayoitwa Mirai Ningen Sentakuki kwa kijapani ambayo inatumia Teknolojia ya akili bandia (AI) na mawimbi ya ultrasonic kuogesha…
Mohamed Salah adokeza kuondoka ‘Hii ilikuwa ni mechi ya mwisho nitakayoichezea Liverpool’
MSHAMBULIAJI wa Liverpool, Mohamed Salah alidokeza kwamba huenda akakaribia kuondoka katika klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu, licha ya kuonyesha kiwango kizuri dhidi ya Manchester City kwenye Ligi ya Premia…
Man City wana ari ya kukabiliana na dhoruba yoyote : Dias
Beki Ruben Dias alisema Manchester City ina uwezo wa kurejea kutoka katika hali mbaya, ambayo ilishuhudia bingwa mtetezi akiangukia kwenye kipigo cha nne mfululizo cha Ligi ya Premia dhidi ya…
Edoardo Bove yupo imara baada ya kuanguka ghafla uwanjani
Fiorentina ilithibitisha kuwa kiungo Edoardo Bove yuko sawa hospitalini baada ya kuzirai, hali iliyosababisha pambano kati ya timu hiyo na mabingwa Inter Milan kusitishwa Jumapili. Fiorentina ilithibitisha kuwa kiungo Edoardo…
Vijana nchini Vietnam wakodisha wapenzi wa muda ili kuwaridhisha wazazi
Shinikizo la kijamii la kuanzisha familia limewalazimu Vijana wengi Nchini Vietnam kukodisha Wapenzi wa muda (Fake Boyfriends) ili kuridhisha Wazazi wao na Kulingana na ripoti mwelekeo huu umekuza Biashara mpya…