FiFA yataja walioteuliwa ‘The Best’ Football Awards 2024
FIFA imetangaza walioteuliwa kuwania Tuzo za ‘The Best’ Football Awards 2024, kuadhimisha wachezaji bora wa mwaka katika soka la wanawake na wanaume katika ngazi za vilabu na kitaifa. Mshindi wa…
‘Bond hii ni tiba ya Matatizo ya Kifedha’- Waziri Mchengerwa,
Ni November 29, 2024 ambapo Benki ya CRDB inazindua SAMIA INFRASTRUCTURE BOND katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City Hall jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa waliozungumza ni Mhe. Mohamed Mchengerwa,…
Wadau wa maji waungane kukabiliana na changamoto za kutoa huduma ya maji.
Naibu waziri wa maji Mhandisi Kundo Mathew ametoa Rai kwa wadau kushirikiana na mamlka za maji pamoja na watendaji wake ili kubuni mbinu mpya zitakazoongeza ufanisi katika kutoa huduma kwa…
Maadhimisho ya miaka 125 ya FC Barcelona
FC Barcelona inasherehekea miaka yake 125 na Novemba 29 bila shaka ni tarehe ya kukumbukwa katika historia ya Barcelona, kama miaka 125 iliyopita, jina la kihistoria la klabu kama Joan…
Mohamed Salah anataka kandarasi ya miaka mitatu ndani ya Liverpool
Mohamed Salah anataka kusaini mkataba wa miaka mitatu kusalia Liverpool, hii ni kutokana na ripoti mbalimbali za ulingo wa michezo huku majadiliano kuhusu mustakabali wa winga huyo mwenye umri wa…
Urusi itatumia ‘kila aina ya silaha’ iwapo Ukraine itapata silaha za nyuklia :Putin
Rais wa Urusi Vladimir Putin alionya kwamba ikiwa nchi za Magharibi zitahamisha silaha za nyuklia kwa Ukraine, Urusi itajibu kwa silaha zote zilizopo. Akizungumza katika mkutano na waandishi wa habari…
Mahakama yamuachia huru Nawanda
Mahakama ya Hakimu Mkazi Mwanza imemuachia huru aliyekuwa Mkuu wa Mkoa wa Simiyu Dkt. Yahya Nawanda aliyekuwa akikabiliwa na kesi ya kulawiti. Katika uamuzi wake kwenye kesi hiyo ya jinai…
Australia yapitisha sheria ya kupiga marufuku watoto kutumia mitandao ya kijamii
Katika uamuzi muhimu, Seneti ya Australia mnamo Alhamisi ilipitisha sheria za kupiga marufuku watoto na vijana kutumia mitandao ya kijamii, katika uamuzi wa kwanza kama huo wa serikali yoyote ulimwenguni.…
Picha: VIongozi na Watu mbalimbali waliohudhuria Samia Infrastructure Bond Mlimani City Hall DSM
Ni November 29, 2024 ambapo Benki ya CRDB inazindua SAMIA INFRASTRUCTURE BOND patika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City Hall jijini Dar es Salaam. Huku Mgeni Rasmi ni Makamu wa Rais…
Serikali ilituangiza kuwa TARURA kwamba tuwe wabunifu
Ni November 29, 2024 ambapo Benki ya CRDB inazindua rasmi SAMIA INFRASTRUCTURE BOND katika Ukumbi wa Mikutano Mlimani City Hall jijini Dar es Salaam. Miongoni mwa waliohudhuria ni Mtendaji Mkuu…