Huenda Jude Bellingham akafungiwa mechi 12 kwa madai ya kumtusi Mwamuzi
Jude Bellingham, kiungo wa Real Madrid, anaweza kufungiwa hadi mechi 12 kutokana na maoni aliyotoa kuhusu mwamuzi, ambayo yalimpelekea kupokea kadi nyekundu ya moja kwa moja kwenye sare ya 1-1…
Parma wanatarajiwa kumtaja Cristian Chivu kama kocha mpya leo
Klabu ya Parma imeamua kuachana na kocha mkuu Fabio Pecchia kufuatia kupoteza mchezo wa nyumbani dhidi ya Roma. Uamuzi wa kumtimua kocha huyo, ambaye alikuwa ameongeza tu mkataba na klabu…
Umoja wa Mataifa waomba dola bilioni 6 kuisadia Sudan
Umoja wa Mataifa umetoa wito wa kupatikana kiasi dola bilioni sita ili kutoa msaada unaohitajika mno kwa watu wa Sudan, wakati nchi hiyo ikikabiliwa na hali mbaya. Mashirika ya Umoja wa…
Minara 758 kujengwa nchini,kamati ya bunge yaingia Arusha nakufanya ukaguzi
Kamati ya kudumu ya bunge ya uwekezashaji wa mitaji ya umma, Imefanya ziara mkoani Arusha ikitembelea minara ndani ya wilaya ya Monduli katika kata ya sepeko na Esilalei kwa lengo…
Mwanamke adaiwa kumuua mumewe baada ya kugundua anamahusiano na mwanaume mwenzake
Mwanamke tajiri na mama wa watoto watatu, Jennifer Gledhill (42), amefikishwa mahakamani kwa tuhuma za kumpiga risasi mumewe hadi kufa akiwa amelala baada ya ugomvi mkali kuhusu madai ya kuwa…
Wagombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi hawatakuwa na kazi kubwa :Majaliwa
WAZIRI Mkuu, Kassim Majaliwa amesema wagombea wa urais kupitia Chama Cha Mapinduzi (CCM) hawatakuwa na kazi kubwa kwa kuwa wataingia katika uchaguzi wakiwa na rekodi thabiti ya utekelezaji ilani ya…
RC Mtanda azindua rasmi kamati ya ushauri wa kisheria Mwanza
Ofisi ya Mwanasheria Mkuu wa Serikali imesema kwa kipindi cha mwaka mmoja ofisi yake imepokea kesi zaidi ya 500 za malalamiko mbalimbali kutoka kwa wananchi dhidi ya Serikali. Mwakilishi wa…
Usambazaji wa maji Kinondoni wafikia asilimia 97 :DAWASA
Kaimu Afisa Mtendaji Mkuu wa Mamlaka ya Majisafi na usafi wa Mazingira Dar Es Salaam(DAWASA) @dawasatz Mhandisi Mkama Bwire amemshukuru Rais Samia Suluhu Hassan kwa kusaidia upatikanaji wa maji katika Wilaya ya…
Dkt.biteko aipongeza EWURA kuleta utulivu kwenye nishati
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati, Dkt. Doto Mashaka Biteko, ameipongeza Mamlaka ya Udhibiti wa Huduma za Nishati na Maji (EWURA) kwa usimamizi thabiti wa huduma za nishati na…
Jengo la hazina Geita lazinduliwa
Naibu Waziri wa Nchi, Ofisi ya Rais, Mipango na Uwekezaji, Mhe. Stanslaus Haroon Nyongo (Mb), amezindua rasmi Jengo la Hazina Mkoa wa Geita kwa niaba ya Waziri wa Fedha, Mhe.…