Hati ya kukamatwa haitoshi, Netanyahu lazima auawe :Ayatollah Khamenei
Kiongozi wa Iran Ayatollah Ali Khamenei, katika hotuba yake kwenye kikao na wanajeshi wa nchi hiyo amesema "Waranti ya kukamatwa kwa Netanyahu kwa uhalifu wa kivita haitoshi, ni lazima hukumu…
Wafanyakazi wa benki waapa kwa kiapo cha damu Japan
Benki ya Shikoku Nchini Japan imeanzisha sera ya kipekee ambapo Wafanyakazi wake husaini kiapo kwa damu wakiahidi kurejesha fedha zilizochukuliwa na kujiondoa Uhai ikiwa watapatikana na hatia ya ubadhirifu. Sera…
Halmshauri ya lushoto yaongeza vituo vya kupiga kura Uchaguzi wa serikali za mitaa
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Lushoto Bi. Ikupa Mwasyoge, ameeleza kuwa vituo vya kupiga kura vimeongezeka na kufikia 1,005 Ili kuondokana na changamoto ya umbali mrefu huku akithibitisha kuwa maandalizi…
Kijana aliyemgonga mwanamke na kumsababishia kupooza afungwa jela miaka 2
Kijana aliyejirekodi akiendesha gari kwa magoti kabla ya kusababisha ajali iliyo pelekea mwanamke aliyemgonga kupooza kutoka shingoni kwenda chini amefungwa jela kwa miaka miwili na miezi miwili. George Taylor, 19,…
Drake amefungua kesi dhidi ya Universal Music Group na Spotify
Msanii kutoka Canada, Drake amefungua kesi dhidi ya Universal Music Group (UMG) na Spotify, akizituhumu kwa kula njama za kuongeza usikilizwaji mkubwa wa diss track ya Kendrick Lamar, Not Like…
Ukraine inasema Urusi ilizindua rekodi ya drones 188 kwa usiku mmoja
Urusi ilizindua rekodi ya idadi ya ndege zisizo na rubani huko Ukraine usiku kucha, jeshi la anga la Ukraine lilisema Jumanne, na kuharibu majengo na "miundombinu muhimu" katika mikoa kadhaa.…
Raia wa Urusi aliyechoma Quran afungwa miaka 14 jela
Mwanaume mmoja raia wa Urusi aliyepatikana na hatia mapema mwaka huu kwa kuchoma moto nakala ya kitabu kitakatifu cha Waislamu, Quran, amehukumiwa kifungo cha ziada cha miaka 14 jela kwa…
Madaktari wazuri wanaotibu nchini Marekani ni wa Nigeria
Staa wa muziki kutokea nchini Nigeria, David Adeleke, maarufu kama Davido, amedai kuwa madaktari bora ambao wanafanya kazi nchini Marekani wengi hutokea nchini Nigeria. Davido ameyasema hayo alipokuwa akiangazia michango…
Google yamshtaki mfanyakazi wa zamani kwa kuiba na kuvujisha siri za Kampuni
Kampuni ya Google imefungua kesi dhidi ya mfanyakazi wake wa zamani ikimtuhumu kuiba taarifa za siri za kampuni zinazohusiana na muundo wa chip zake na kuzivujisha mtandaoni. Kesi hiyo, iliyowasilishwa…
Mrembo wa TikTok akamatwa baada kupost bidhaa alizoiba
Mshawishi wa TikTok akamatwa baada ya kuiba vitu dukani zikiwemo bidhaa za nyumbani na nguo, zenye thamani ya $500.32 . Mrembo huyo wa TikTok kutoka Florida alikamatwa baada ya kuonyesha…