Tarehe 27 watumishi ZNZ kazini kama kawaida
Mkurugenzi wa Mawasiliano Ikulu na Msemaji wa Serikali ya Mapinduzi ya Zanzibar Charles Hillary ametoa taarifa kwa watumishi wa Umma Kuhusu utaratibu wa watumishi wa serikali kuendea na kazi kama…
Mfanyakazi mnene aishitaki kampuni kwa kupewa nafasi ndogo ya kufanyia kazi
William Martin, Mfanyakazi wa Maktaba ya Umma ya New York mwenye uzito wa kilo 163 na urefu wa futi 6 na inchi 2, amefungua kesi dhidi ya Mwajiri wake akidai…
Ex wa Elon musk afunguka changamoto za malezi zilizomfanya kufilisika
Msanii wa muziki Grimes, jina lake halisi Claire Boucher, ameeleza changamoto alizokutana nazo katika kesi ya malezi dhidi ya aliyekuwa mwenzi wake, Elon Musk. Kupitia mtandao wa X, Grimes alisema…
Kilo 2207 zadakwa huku nyingine zikiwa kwenye chassis ya Scania
Mamlaka ya Kudhibiti na Kupambana na Dawa za Kulevya (DCEA) kwa kushirikiana na Vyombo vingine vya dola, imekamata jumla ya kilogramu 2,207.56 za dawa za kulevya na dawa tiba zenye…
Sho Madjozi atangaza kustaafu muziki
Mwanamuziki kutoka Afrika Kusini Sho Madjozi aliyetamba na ngoma ya "John Cena", Ametangaza Rasmi Kuacha Kufanya Muziki punde tu Atakapoachia album yake hivi karibuni. Muimbaji Huyu Alisikika Kwenye Interview Katika…
Taiwan yadai kunasa puto la kijasusi la China
Taiwan ilisema Jumatatu iligundua puto ya Uchina juu ya maji kaskazini-magharibi mwa kisiwa hicho, ambayo ni ya kwanza kuripotiwa tangu Aprili, wakati Beijing inashikilia shinikizo kwa Taipei kukubali madai yake…
Mwanamke au msichana 1 huuawa kila baada ya dk 10 na mpenzi wake au mwanafamilia :UN
Katika Siku ya Kimataifa ya Kutokomeza Ukatili dhidi ya Wanawake, tarehe 25 Novemba, ripoti ya Femicides mwaka 2023: Makadirio ya Kimataifa ya Mauaji ya walio kwenye mahusiano / UN Women…
Mtendaji mkuu Tarura kinara tuzo ya watendaji wakuu bora wa mwaka
Mtendaji Mkuu wa Wakala ya Barabara za Vijijini na Mijini (TARURA) Mhandisi Victor Seff amepata tuzo ya utendaji bora na kuwa miongoni mwa Watendaji Wakuu 100, akitambuliwa ni kinara katika…
Kuchepuka sio kosa tena New York
Jimbo la New York limefuta rasmi sheria ya zamani iliyokuwa ikifanya kuchepuka kuwa kosa la jinai ambapo katika Sheria hiyo, iliyoanzishwa mwaka 1907, iliwahi kumfunga Mtu kwa miezi mitatu kwa…
Namibia inaweza kumchagua rais wake wa kwanza mwanamke wiki hii
Makamu wa Rais wa Namibia Netumbo Nandi-Ndaitwah anaweza kuwa rais wa kwanza mwanamke wa nchi hiyo iwapo atashinda uchaguzi wa urais Jumatano. Takriban watu milioni 1.4, au takriban nusu ya…