Man City wanaweza kuwa nje ya mbio za ubingwa kama itachapwa huko Anfield wiki ijayo :Guardiola
Pep Guardiola amependekeza kwamba ikiwa Liverpool wataifunga Manchester City kwenye Uwanja wa Anfield wikendi ijayo timu yake inaweza kuwa tayari imetoka kwenye mbio za ubingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza.…
Manchester United wako serious kumnasa Camavinga
Manchester United wameripotiwa kutaka kumsajili kiungo wa Real Madrid Eduardo Camavinga. Kwa mujibu wa ripoti ya hivi karibuni kutoka kwa Fichajes, klabu hiyo ya Ligi Kuu ya Uingereza imeanzisha mawasiliano…
Ushiriki wa Rais Samia G20 wainufaisha Tanzania
Ushiriki wa Rais Samia Suluhu Hassan katika Mkutano wa G20 uliofanyika hapa Rio de Janeiro, Brazil na kuhusisha nchi tajiri 19 duniani, Umoja wa Ulaya (EU) na Umoja wa Afrika…
CCM hatucheki na mtu katika kushika dola,tumejipanga :CPA Makala
KATIBU wa Halmashauri Kuu ( NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) , Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho hakicheki na mtu katika kushika dola na…
Walichokifanya ‘’Mdundo’ wadau wa muziki wafunguka “elimu itolewe, vipato viongezeke”
WADAU wa mziki nchini wamesema upo umuhimu wa wasanii wa mziki nchini kupatiwa elimu ya uwekezaji ili iwasaidie kutumia vizuri vipato vyao vinavyotokana na kazi hiyo hasa pale shughuli zao…
Putin atishia kutumia kombora jingine jipya kwa mara ya pili mfululizo
Kurushwa kwa makombora ya masafa marefu ya Storm Shadow yaliyofanywa na vikosi vya Ukraine wiki iliyopita katika maeneo ya kijeshi ndani ya Urusi wiki iliyopita kunamaanisha kwamba Uingereza, pamoja na…
Urusi iko tayari kuanzisha vita vya mtandao dhidi ya Uingereza
Urusi iko tayari kuzindua wimbi jipya la mashambulizi ya mtandaoni kwa Uingereza ambayo yanaweza "kuzima taa kwa mamilioni", waziri wa Baraza la Mawaziri ataonya katika mkutano wa Nato siku ya…
Friedkins wanamlenga Moyes kurejea Everton
David Moyes anapangwa kurejea Everton na wamiliki wake wapya wanaokuja. Familia ya Friedkin inalenga kufunga ununuzi wao kutoka kwa Farhad Moshiri kabla ya Krismasi Na The Sun linasema wamempanga Moyes…
Man City inachuana na Man Utd kumpata nyota wa Sporting CP Gyokeres
Manchester United na Manchester City wanamtolea macho mshambuliaji wa Sporting CP Viktor Gyokers. Mchezaji huyo wa kimataifa wa Uswidi anatarajiwa kuondoka Sporting msimu huu wa joto, huku mkataba wake ukiwa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 24, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 24, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.