Alikiba akishirikia na Asas waandaa tamasha la ASAS FIT & FUN KIDS FEST
Mwimbaji Star Alikiba akishirikiana na Kampuni ya ASAS wameandaa tamasha la watoto lililopewa jina la ASAS FIT & FUN KIDS FEST linalotarajiwa kufanyika tarehe 9 Disemba mwaka huu MbeziBeach. Akiongea…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 23, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 23, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 23, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
CCM yaahidi kuheshimu ratiba ya mikutano kampeni Serikali za mitaa
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM) kupitia Katibu wa Halmashauri Kuu(NEC) Itikadi, Uenezi, Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makalla amesema Chama hicho katika kipindi chote Cha kampeni za Uchaguzi wa Serikali za…
Jukwaa la Mtandao wa Petroli na Gesi ladhamiria kupeleka mbele mabadiliko tasnia ya nishati ya Uganda na Tanzaniaa
Kupitia jukwaa la Mtandao wa Petroli na Gesi la Uganda na Tanzania lilifanyika tarehe 22 Novemba 2024 jijini Dar es Salaam, wadau wa jukwaa hili wametaja nia yao mahsusi ya…
Fenerbahce wajipanga na ofa kwa mkongwe wa Man Utd Eriksen
Fenerbahce inamwinda kiungo wa kati wa Manchester United Christian Eriksen. Kando na kandarasi mwezi Juni, Eriksen anatarajiwa kuhamishwa na meneja mpya wa United Ruben Amorim mwaka ujao - na pengine…
Picha: Joseph Kusaga akutana na balozi wa Marekan nchini Tanzania
Mwenyekiti wa Clouds Media Group, Joseph Kusaga, alikutana na Balozi wa Marekani nchini Tanzania, Mheshimiwa Michael A. Battle Sr. Katika majadiliano yao, walijadili kazi kubwa inayofanywa na Clouds Media Group,…
Urusi yatoa mitambo ya kuzuia mabomu ya anga kwa Korea Kaskazini
Urusi imetuma mitambo ya kuzuia mabomu ya anga kwa Korea Kaskazini kwa kubadilishana na kupeleka wanajeshi wake kusaidia vita vya Ukraine, alisema afisa mkuu wa Korea Kusini. Marekani, Korea Kusini…
Mawakili wa Diddy wasema video iliyoonesha akimpiga mpenzi wake ilighushiwa
Mawakili wa Sean "Diddy" Combs wamesema video inayodaiwa kuonyesha msanii huyo kumshambulia aliyekuwa mpenzi wake, Cassie Ventura, ilibadilishwa. Katika taarifa walizotoa Alhamisi, mawakili walisema video hiyo haikuonyesha kikamilifu kile kilichotokea…
FBI yakamata tovuti zinazodaiwa kutumiwa na Korea Kaskazini,zajifanya ni kampuni za Marekani
FBI imekamata tovuti kadhaa zilizotumiwa na Korea Kaskazini kujifanya kampuni za Marekani na India, kwa lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya mpango wa nyuklia wa taifa hilo. Tovuti hizo…