Mawakili wa Diddy wasema video iliyoonesha akimpiga mpenzi wake ilighushiwa
Mawakili wa Sean "Diddy" Combs wamesema video inayodaiwa kuonyesha msanii huyo kumshambulia aliyekuwa mpenzi wake, Cassie Ventura, ilibadilishwa. Katika taarifa walizotoa Alhamisi, mawakili walisema video hiyo haikuonyesha kikamilifu kile kilichotokea…
FBI yakamata tovuti zinazodaiwa kutumiwa na Korea Kaskazini,zajifanya ni kampuni za Marekani
FBI imekamata tovuti kadhaa zilizotumiwa na Korea Kaskazini kujifanya kampuni za Marekani na India, kwa lengo la kukusanya fedha kwa ajili ya mpango wa nyuklia wa taifa hilo. Tovuti hizo…
Dunia yapokea kwa namna yake hatua ya ICC kuwakamata Netanyahu na Gallant
Seneta wa Marekani Bernie Sanders ameunga mkono uamuzi wa Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu (ICC) kutoa hati za kukamatwa kwa Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu na aliyekuwa Waziri wa…
Vita vya Ukraine vinachukua mkondo wa kidunia:Putin
Rais wa Urusi Vladimir Putin ametangaza Alhamisi, Novemba 21, kwamba vikosi vyake viliishambulia Ukraine kwa kombora jipya la masafa ya kati, baada ya kushambulia mji wa Dnipro ambapo kombora hilo…
Haiti yamuita balozi wa Ufaransa juu ya matamshi tatanishi ya Macron
Wizara ya Mambo ya Nje ya Haiti imemuita balozi wa Ufaransa Antoine Michon siku ya Alhamisi kumlalamikia kuhusu "matamshi yasiyokubalika" ya Rais Emmanuel Macron wa Ufaransa katika mkutano wa G20.…
Hati ya mipango ya Ujerumani ya vita dhidi ya Urusi yavuja
Waraka wa kurasa 1,000 ambao unaeleza jinsi Ujerumani ingekabiliana na vita dhidi ya Urusi umefichuliwa na vyombo vya habari vya ndani. Hati hiyo, iliyopewa jina la Mpango wa Uendeshaji…
Idadi ya waliofariki Gaza yafikia 44,000
Takriban Wapalestina 71 zaidi waliuawa katika mashambulizi ya mara kwa mara ya Israel katika Ukanda wa Gaza, na hivyo kuongeza idadi ya vifo tangu mwaka jana hadi 44,056, Wizara ya…
Singapore yamnyonga mtuhumiwa wa madawa ya kulevya akiwa watatu ndani ya wiki 1
Singapore imeendelea na utekelezaji wa adhabu ya kifo kwa Mtuhumiwa wa biashara ya Madawa ya kulevya, ikiwa ni mara ya tatu ndani ya wiki moja, Rosman Abdullah, mwenye umri wa…
WHO kutathmini iwapo Mpox bado ni dharura ya kimataifa
Kamati ya wataalam wa masuala ya afya inakutana baadae leo kutathmini iwapo mpox bado ishughulikiwe katika kiwango cha dharura ya kimataifa. Takwimu za Shirika la Afya Duiani WHO zinasema ugonjwa…
Pep Guardiola ameongeza kandarasi ya Manchester City hadi 2027
Manchester City ilithibitisha Alhamisi kwamba meneja Pep Guardiola, ambaye mkataba wake ulikuwa unamalizika mwishoni mwa msimu wa 2024/25, alisaini nyongeza ya miaka miwili. "Manchester City ina maana kubwa kwangu," Guardiola…