Tusiwe Sehemu ya Matumizi ya Nguvu wakati wa Uchaguzi.
Askari wa Jeshi la Akiba Wilaya ya Longido Mkoani Arusha wametakiwa kutokuwa chanzo cha Matumizi ya Nguvu wakati wa Uchaguzi wa Serikali za Mitaa Utakaofanyika Mwezi huu huku wakitakiwa kufuata…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 22, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 22, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 22, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 22, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Bukombe wanataka maendeleo :Dkt Biteko
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati ambaye pia ni Mbunge wa Jimbo la Bukombe, Mhe. Dkt. Doto Biteko amesema kuwa kwa miaka yote wananchi wa Wilaya ya Bukombe wamekuwa…
Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini awaasa wananchi kujitokeza kuwachagua viongozi sahihi
Mwenyekiti wa CHADEMA kanda ya Kaskazini Godbless Lema amesema Arusha ilikuwa na wagombea 154 wa nafasi mbalimbali wa uchaguzi wa serikali za mitaa lakini wagombea 106 wamekatwa nakuwataka wananchi kupambana…
Dar City yafanikiwa kutwaa Ubingwa wa Kikapu wa NBL jijini Dodoma
Timu ya Mpira wa Kikapu ya Dar City imefanikiwa kutwaa Ubingwa wa Kikapu wa NBL (National Basketball League) jijini Dodoma baada ya kuifunga ABC kwa vikapu 78-46. Dar City…
Waziri Chana kwenye mkutano mkubwa wa kimataifa Arusha,atoa mikakati hii
Waziri wa Maliasili na Utalii, Mhe. Balozi, Dkt. Pindi Chana amesisitiza umuhimu wa kuwa na mikakati endelevu katika kukuza Sekta ya Utalii na Ukarimu hususan katika nyanja za utunzaji wa…
Wagombea wameandaliwa,wapo tayari kutumikia Watanzania :CPA Makala
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) Itikadi, Uenezi,Siasa na Mafunzo CPA Amoss Makala amewahakikishia Watanzania kwamba Chama hicho katika Uchaguzi wa Serikali za Mitaa kimeweka wagombea safi…
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu yatoa hati ya kukamatwa kwa Netanyahu na waziri wake wa zamani
Mahakama ya Kimataifa ya Uhalifu, ICC, imetoa siku ya Alhamisi, Novemba 21, hati ya kukamatwa kwa Benjamin Netanyahu na Waziri wake wa zamani wa Ulinzi Yoav Gallant kwa "uhalifu dhidi…
Jonathan Tah, akaribia kujiunga na Barcelona
Jonathan Tah, kati ya Bayer Leverkusen, amekuwa mmoja wa wachezaji wanaohitajika sana sokoni. Huku kandarasi yake ikimalizika Juni ijayo, beki huyo wa Ujerumani ana vilabu vikubwa vya Ulaya kwenye mkia…