Albania yajipanga kupiga marufuku kabisa TikTok na Snapchat
Waziri mkuu wa Albania amesema huenda nchi hiyo ikafikiria kufanya "uamuzi mkali" wa kuzipiga marufuku kabisa TikTok na Snapchat kufuatia mauaji ya mwanafunzi wa shule ya msingi mwenye umri wa…
Shirika la ulinzi wa raia Gaza limesema watu 22 wameuawa katika shambulizi la Israel
Shirika la ulinzi wa kiraia la Gaza lilisema Alhamisi kuwa watu 22 waliuawa katika shambulio la Israeli kwenye mji wa Gaza, wakati vyanzo vya matibabu viliripoti vifo vya makumi ya…
Bil 20 zimejenga hospitali,shule mpya 180,bil 14 zinaboresha stendi ya mabasi na barabara Geita
Katibu wa NEC - Oganaizesheni wa CCM Taifa, Ndg. Issa Haji Gavu, amesema serikali iliyopo madarakani inayotokana na CCM katika kuendeleza utekelezaji wa miradi mbalimbali nchini imejipanga kuboresha stendi ya…
Waziri Mkuu wa mali atimuliwa baada ya kuikosoa Serikali
Waziri Mkuu wa Mali Choguel Maiga alifutwa kazi siku ya Jumatano (Nov. 20) baada ya kuikosoa serikali ya mpito ya nchi hiyo. Amri ilisomwa kwenye televisheni ya taifa na katibu…
Australia yapendekeza kupiga marufuku mitandao ya kijamii kwa watoto chini ya miaka 16
Serikali ya Australia imewasilisha muswada wa sheria Bungeni unaopendekeza kupiga marufuku Watoto chini ya miaka 16 kutumia Mitandao ya kijamii na Kampuni zitakazokiuka sheria hii zitakabiliwa na faini ya hadi…
Ripoti yatumia mabomu ya Uingereza kuishambulia Urusi
Ukraine imeripotiwa kutumia kwa mara ya kwanza makombora ya masafa marefu aina ya “Storm Shadow” yaliyotengenezwa Uingereza kushambulia maeneo ya ndani ya Urusi. Shambulio hilo limefanyika siku moja baada ya…
Mwanamke wa Thailand ahukumiwa kifo kwa kuuwa marafiki zake 14 kwa sumu
Mahakama mjini Bangkok ilimpata na hatia Sararat Rangsiwuthaporn, 36, raia wa Thailand na kumpatia hukumu ya kifo katika kesi ya kwanza kati ya msururu wa kesi anazotuhumiwa kuwaua marafiki zake…
Putin ameipa mbuga kuu ya wanyama ya Korea Kaskazini zaidi ya wanyama 70
Rais wa Urusi Vladmir Putin ameipa mbuga kuu ya wanyama ya Korea Kaskazini zaidi ya wanyama 70 akiwemo simba mmoja na dubu wawili katika onyesho jingine la uhusiano unaoimarika kati…
Hakuna makubaliano ya kusitisha mapigano yatakubaliwa ikiwa yatakiuka “uhuru” wa Lebanoni:Kiongozi wa Hamas
Kiongozi mpya wa Hezbollah, Sheikh Naïm Qassem, amebainisha siku ya Jumatano Novemba 20 kwamba hakuna makubaliano ya kusitisha mapigano yatakubaliwa ikiwa yatakiuka "uhuru" wa Lebanoni. Hii ni kujibu nia ya…
Hapi ahimiza kampeni zenye staha ili kuwapata viongozi bora
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi amewataka viongozi wa chama cha mapinduzi na vyama vingine kufanya kampeni za kistaaribu na kiungwana ili kuendelea kulinda amani na…