Waziri Mavunde apiga marufuku wageni kuingia kwenye leseni za uchimbaji mdogo
Waziri wa Madini Mhe. Anthony Mavunde amepiga marufuku raia wa kigeni kuingia na kufanya shughuli kwenye leseni za uchimbaji mdogo; hii ni kufuatia changamoto zilizobainika katika uingiaji mikataba ya utoaji…
Mkoanwa Morogoro kumtumia vituo 2816 kuboresha daftari la kudumu la mpiga kura
Tume Huru ya Taifa ya Uchaguzi (INEC) imetangaza kuanza kwa mzunguko wa 12 wa uboreshaji wa Daftari la Kudumu la Wapiga Kura ambao utafanyika mkoani Morogoro na sehemu ya mkoa…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 18, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 18, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 18, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 18, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 17, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 17, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 17, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 17, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
EXCLUSIVE: Mtoto Genius wa hesabu, apata A kila somo, anajua Kingereza, Kichina (+video)
Ni miaka minne imepita toka tulipomfuata Mtoto aliyewaacha wengi midomo wazi kwa ujuzi wake wa hesabu charles Matias Mbena ‘Genious wa hesabu, tulifika kwao Kijijini kwa Nyingwa Morogoro mwendo zaidi…
Davina akabidhi vifaa tiba vya kujifungulia kituo cha afya Ihongole
Msanii wa Filamu Halima Mpinge (Davina) Chini ya Taasisi yake ya SHADA ORGANIZATION Kwa kushirikiana na Chama Cha Waigizaji Mkoa wa Iringa wameazimisha siku maalumu ya Wapenda nao Kwa kukabidhi …
Watumishi TANESCO waaswa kushiriki michezo
Wafanyakazi wa Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) Mkoa wa Iringa wamefanya bonanza la michezo mbalimbali ikiwa ni kwa lengo la kupongezana kwa kazi, burudani za pamoja za kujiimarisha kiafya. Bonanza…
RC Singida atumia kipaji chake kuimba kumchangia mlemavu wa ngozi
Mkuu wa mkoa wa Singida Halima Dendego ameamua kutumia kipaji chake cha Sanaa kwa kuimba nyimbo ya msanii Mbilia Bel inayoitwa Nakei Nairobi kwa kumchangia walemavu wa Ngozi wa familia…