Wafuasi 28 wa magenge wauwawa Haiti
Polisi na makundi ya kiraia ya kujilinda yamewauwa watu 28 wanaodaiwa kuwa wanachama wa genge katika mji mkuu wa Haiti, Port au Prince katika operesheni ya usiku kucha, serikali imesema…
CPA Makalla azindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa Dar es salaam .
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla, tayari amewasili katika Viwanja vya Buliaga, vilivyopo katika…
Tottenham Hotspur yakata rufaa dhidi ya marufuku ya Bentancur
Kiungo wa kati wa Tottenham Rodrigo Bentancur amefungiwa kucheza mechi na hii ni kutokana na matamshi ya ubaguzi wa rangi na kuifanya klabu hiyo kuchukua hatua kumtetea mmoja wa wachezaji…
Mr Manguruwe na Mkaguzi wake waendelea kusota rumande baada ya kukosa dhamana
Mfanyabiashra, Simon Mkondya (40) maarufu kama Manguruwe na Mkaguzi, Rweyemamu John (59) wanaendelea kusota rumande kutokana na kukosa dhamana katika Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu. Manguruwe ambaye Mkurugenzi wa Kampuni…
Chuma cha Chuma kupewa dhama iwap atatimiza masharti aliyopewa
Mahakama ya Hakimu Mkazi Kisutu imeridhia maombi ya mshitakiwa ambaye ni raia wa Burundi Ferdnand Ndikuriyo(27) maarufu ‘Chuma cha Chuma, ya kupewa dhama iwapo tu atatimiza masharti aliyopewa. Uamuzu huo…
Arsenal FC inachunguza chaguo za mkurugenzi mpya wa michezo
Arsenal FC inachunguza kwa dhati chaguo za mkurugenzi mpya wa michezo kufuatia tangazo la kuondoka kwa Edu baada ya miaka mitano ya uongozi. Utafutaji huo unakuja dhidi ya msingi wa…
Genoa yamteua Patrick Vieira kuwa Kocha Mkuu mpya
Genoa imetangaza rasmi kwenye tovuti yao uteuzi wa Patrick Vieira kama kocha mkuu wao mpya. Mfaransa huyo anachukua mikoba ya mwanasoka mwenzake wa zamani Alberto Gilardino. Vieira mwenye umri wa…
WHO imeorodhesha chanjo mpya ya Mpox
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa idhini ya chanjo aina mpya kutumika dhidi ya Mpox. Chanjo hiyo imepewa jina la LC16m8 na ni chanjo iliyotengenezwa na kampuni ya KM Biologics nchini…
Maadhimisho ya siku ya watoto duniani
Siku ya Watoto Duniani ilianzishwa kwa mara ya kwanza kunako mwaka wa 1954 kama Siku ya Watoto Wote na huadhimishwa na Jumuiya ya Kimataifa tarehe 20 Novemba ya kila mwaka…
Shirika la kimataifa la Air France laanza safari zake KIA,Naibu Waziri ashuhudia
Shirika la ndege la Air France limeanzisha rasmi safari zake kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwenda moja kwa moja Ufaransa (Charles de Gaulle) kuanzia tarehe 18…