Putin ameipa mbuga kuu ya wanyama ya Korea Kaskazini zaidi ya wanyama 70
Rais wa Urusi Vladmir Putin ameipa mbuga kuu ya wanyama ya Korea Kaskazini zaidi ya wanyama 70 akiwemo simba mmoja na dubu wawili katika onyesho jingine la uhusiano unaoimarika kati…
Hakuna makubaliano ya kusitisha mapigano yatakubaliwa ikiwa yatakiuka “uhuru” wa Lebanoni:Kiongozi wa Hamas
Kiongozi mpya wa Hezbollah, Sheikh Naïm Qassem, amebainisha siku ya Jumatano Novemba 20 kwamba hakuna makubaliano ya kusitisha mapigano yatakubaliwa ikiwa yatakiuka "uhuru" wa Lebanoni. Hii ni kujibu nia ya…
Hapi ahimiza kampeni zenye staha ili kuwapata viongozi bora
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya CCM, Ally Hapi amewataka viongozi wa chama cha mapinduzi na vyama vingine kufanya kampeni za kistaaribu na kiungwana ili kuendelea kulinda amani na…
UDART yachangia Katoni 500 za maji kusaidia shughuli za uokoaji Kariakoo
Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART) imeungana na juhudi za kusaidia waathirika wa ajali ya kuanguka kwa jengo la ghorofa nne lililotokea hivi karibuni eneo la Kariakoo. Katika kuonyesha mshikamano…
Baadhi ya Wagombea wa nafasi za Wenyeviti wa mtaa waenguliwa,hawajui kusoma na kuandika
Baadhi ya Wagombea wa nafasi za Wenyeviti wa Mtaa kupitia Chama Cha Mapundizi CCM wameenguliwa mara baada ya kubainika kuwa hawajui kusoma na kuandika. Katibu Mkuu wa CCM Taifa, Dkt.…
Katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi CCM amewataka CHADEMA kuwasilisha ajenda za maendeleo kwa wananchi
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao…
Ras Morogoro atoa agizo kwa EWURA ,vituo vya mafuta vyadaiwa kuwaibia wateja mafuta
Katibu tawala Mkoa Morogoro Alhaj Dokta Mussa Ally Mussa ameitaka Mamlaka ya udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA) kufuatilia vipimo vya mafuta katika vituo vya kujazima mafuta kwani…
Chai yavutia wageni kutoka Ujerumani “Nchi hii ni tajiri jivunieni” ataka watanzania kutembelea vivutio
Watanzania wameshauriwa kujenga tabia ya kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo karibu yao ili kuchochea maendeleo ya sekta ya utalii na kulinda rasilimali za taifa. Wito huo umetolewa na baadhi ya…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 21, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 21, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 21, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 21, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.