Katibu mkuu wa jumuiya ya wazazi CCM amewataka CHADEMA kuwasilisha ajenda za maendeleo kwa wananchi
Katibu Mkuu wa Jumuiya ya Wazazi ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Ally Hapi, amewataka viongozi wa Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuacha kulalamika na badala yake kuelekeza nguvu zao…
Ras Morogoro atoa agizo kwa EWURA ,vituo vya mafuta vyadaiwa kuwaibia wateja mafuta
Katibu tawala Mkoa Morogoro Alhaj Dokta Mussa Ally Mussa ameitaka Mamlaka ya udhibiti wa huduma za Nishati na Maji (EWURA) kufuatilia vipimo vya mafuta katika vituo vya kujazima mafuta kwani…
Chai yavutia wageni kutoka Ujerumani “Nchi hii ni tajiri jivunieni” ataka watanzania kutembelea vivutio
Watanzania wameshauriwa kujenga tabia ya kutembelea vivutio vya utalii vilivyopo karibu yao ili kuchochea maendeleo ya sekta ya utalii na kulinda rasilimali za taifa. Wito huo umetolewa na baadhi ya…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 21, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 21, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 21, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 21, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
UDART wachangia maji ya Afiya katoni 500 uokoaji Kariakoo
Kampuni ya Mabasi yaendayo Haraka (UDART) imeungana na juhudi za kusaidia waathirika wa ajali ya kuanguka kwa jengo la ghorofa nne lililotokea hivi karibuni eneo la Kariakoo. Katika kuonyesha mshikamano…
Katibu mkuu wa jumuiya ya umoja wa vijana azindua kampeni za uchaguzi Pwani
Katibu mkuu wa jumuiya ya umoja wa vijana ya chama cha mapinduzi Jokate Mwegelo siku ya leo amezindua rasmi kampeini za uchaguzi wa serikali za mitaa katika mkoa wa pwani…
Wafuasi 28 wa magenge wauwawa Haiti
Polisi na makundi ya kiraia ya kujilinda yamewauwa watu 28 wanaodaiwa kuwa wanachama wa genge katika mji mkuu wa Haiti, Port au Prince katika operesheni ya usiku kucha, serikali imesema…
CPA Makalla azindua kampeni za uchaguzi wa serikali za mitaa Dar es salaam .
Katibu wa NEC, Itikadi, Uenezi na Mafunzo wa CCM Taifa na Mlezi wa CCM Mkoa wa Dar es salam CPA. Amos Makalla, tayari amewasili katika Viwanja vya Buliaga, vilivyopo katika…
Tottenham Hotspur yakata rufaa dhidi ya marufuku ya Bentancur
Kiungo wa kati wa Tottenham Rodrigo Bentancur amefungiwa kucheza mechi na hii ni kutokana na matamshi ya ubaguzi wa rangi na kuifanya klabu hiyo kuchukua hatua kumtetea mmoja wa wachezaji…