Genoa yamteua Patrick Vieira kuwa Kocha Mkuu mpya
Genoa imetangaza rasmi kwenye tovuti yao uteuzi wa Patrick Vieira kama kocha mkuu wao mpya. Mfaransa huyo anachukua mikoba ya mwanasoka mwenzake wa zamani Alberto Gilardino. Vieira mwenye umri wa…
WHO imeorodhesha chanjo mpya ya Mpox
Shirika la Afya Duniani (WHO) limetoa idhini ya chanjo aina mpya kutumika dhidi ya Mpox. Chanjo hiyo imepewa jina la LC16m8 na ni chanjo iliyotengenezwa na kampuni ya KM Biologics nchini…
Maadhimisho ya siku ya watoto duniani
Siku ya Watoto Duniani ilianzishwa kwa mara ya kwanza kunako mwaka wa 1954 kama Siku ya Watoto Wote na huadhimishwa na Jumuiya ya Kimataifa tarehe 20 Novemba ya kila mwaka…
Shirika la kimataifa la Air France laanza safari zake KIA,Naibu Waziri ashuhudia
Shirika la ndege la Air France limeanzisha rasmi safari zake kutoka Uwanja wa Ndege wa Kimataifa wa Kilimanjaro (KIA) kwenda moja kwa moja Ufaransa (Charles de Gaulle) kuanzia tarehe 18…
Trump amteua mwanzilishi wa ligi ya mieleka kuwa waziri wa Elimu
Donald Trump alimteua Linda McMahon, Mkurugenzi Mtendaji wa zamani wa World Wrestling Entertainment , Jumanne kuongoza Idara ya Elimu. Akimuelezea McMahon kama "mtetezi mkali wa Haki za Wazazi," Trump alisema…
Urusi inakaribia kwa kasi maeneo muhimu ya Ukraine
Jeshi la Urusi linasonga mbele kwa mafanikio makubwa, katika mstari wa mbele wa vita nchini Ukraine, kwa mujibu wa utafiti. Taarifa kutoka Taasisi ya Utafiti wa Vita (ISW) inaonyesha, kwa…
Hatma ya kesi ya P Diddy,waathiriwa wazidi kumiminika
Mawakili wa Sean Diddy Combs Jumanne walidai kuwa kesi yake ya ulanguzi wa ngono inaweza kufutwa kutokana na "makosa ya mwendesha mashtaka" yaliyofanywa wakati wa uvamizi wa hivi majuzi katika…
Gerardo Martino kuondoka Inter Miami,nani kuchukua mikoba yake
Kocha mkuu wa , Gerardo Martino, bila kutarajia ameamua kujiuzulu wadhifa wake kwa sababu binafsi, kwa mujibu wa TMW, ikinukuu chanzo ndani ya klabu hiyo. Martino, ambaye alijiunga na timu…
Putin ajitayarisha kujadili usitishaji vita wa Ukraine na Trump
Vladimir Putin yuko tayari kujadili usitishaji vita nchini Ukraine na Donald Trump, vyanzo vya Kremlin vimefichua. Rais wa Urusi yuko tayari kufanya mazungumzo ya mwisho wa mzozo wa mstari wa…
Nyota wa Tenisi Rafael Nadal astaafu
Uchezaji mzuri wa nyota Rafael Nadal katika tenisi ya kulipwa ulifikia kikomo siku ya Jumanne wakati Uholanzi ilipoondoa Uhispania katika robo fainali ya Kombe la Davis. Mhispania huyo mwenye umri…