Nyota wa Tenisi Rafael Nadal astaafu
Uchezaji mzuri wa nyota Rafael Nadal katika tenisi ya kulipwa ulifikia kikomo siku ya Jumanne wakati Uholanzi ilipoondoa Uhispania katika robo fainali ya Kombe la Davis. Mhispania huyo mwenye umri…
Marekani yafunga ubalozi wake kwa muda kwa hofu ya kutokea kwa shambulio
Ubalozi wa Marekani mjini Kyiv umefungwa kwa muda kutokana na kile ambacho kimetajwa kama uwezekano wa kutokea kwa shambulio la angani. Hatua hii ya Washington inakuja pia baada ya Urusi kuahidi kujibu…
Messi na Lautaro Martinez waweka rekodi mpya katika soka la kimataifa
Jana usiku, Argentina iliilaza Peru 1-0 katika mechi ya raundi ya 12 ya kufuzu kwa Kombe la Dunia 2026, bao pekee katika mechi hiyo likifungwa na Lautaro Martínez, akisaidiwa na…
Rais Dkt.Samia asisitiza nchi za SADC kumaliza migogoro
Mwenyekiti wa asasi ya siasa, ulinzi na usalama wa Jumuiya ya Maendeleo Kusini mwa Afrika (SADC), Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania Mhe.Dkt.Samia Suluhu Hassan amezisisitiza nchi za Jumuiya…
Gavu awasili Geita kuzindua kampeni za uchaguzi serikali za mitaa
KATIBU wa Halmashauri Kuu(NEC) Oganaisheni na Mjumbe wa Kamati Kuu Issa Gavu amewasili mkoani Geita kwa ajili ya kuzindua rasmi Kampeni za Uchaguzi wa Serikali za Mitaa,Vijiji na Vitongoji unaotarajia…
Pilika Pilika za maandalizi ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi zaanza,Nape apokea wanachama wapya
Tarehe 27 mwezi Novemba Mwaka huu inatarajiwa kufanyika uchaguzi wa serikali za mita, huku tayari pilika pilika za maandalizi ya ufunguzi wa kampeni za uchaguzi zimekwisha anza, kwa pande wa…
Meneja Pep Guardiola atia saini nyongeza ya mkataba Manchester City: Ripoti
Meneja wa Manchester City Pep Guardiola ametia saini kandarasi mpya ya kuongeza muda wake wa kusalia kwenye klabu hiyo ya mabingwa wa Ligi Kuu ya Uingereza hadi 2026, ripoti za…
Man City huenda wakampata Florian Wirtz – vyanzo
Man City wanaweza kukamilisha dili la pauni milioni 100 msimu wa joto kwa kiungo mahiri wa Bayer Leverkusen, Florian Wirtz, bila shaka kuwakatisha tamaa Liverpool na Real Madrid katika mchakato…
Leroy Sane atoa majibu kuhusu kuhusishwa Arsenal na Man Utd
Ripoti za hivi punde zilidokeza kwamba Bayern Munich imeanzisha mazungumzo ya kuongeza mkataba wa Leroy Sane, huku baadhi ya masharti yakiripotiwa kuwekwa na klabu hiyo ili dili hilo liendelee. Hata…
Je, Arsenal wanaweza kumfanya Arda Guler kuwa Martin Odegaard wao ajaye?
Hatua ya Arsenal kumsajili Martin Odegaard kutoka Real Madrid ni mojawapo ya mafanikio makubwa ya hivi majuzi kwenye soko la usajili, na sasa wanaangalia fursa kama hiyo. The Gunners wanaripotiwa…