Magenge yenye nguvu yaanzisha tena mashambulizi kwenye mji mkuu wa Haiti
Magenge yalianzisha mashambulizi mapya kwenye mji mkuu wa Haiti mapema Jumanne, yakilenga jamii ya watu wa juu huko Port-au-Prince ambapo watu wenye silaha walipambana na wakaazi ambao walipigana bega kwa…
Watu 25 wafariki kutokana na kuenea kwa magonjwa ya milipuko Sudan
Watu 25 wamekufa kutokana na kuenea kwa magonjwa ya milipuko na uhaba wa chakula na dawa katika kijiji cha Wad Ashib katikati mwa Sudan, kikundi cha wanaharakati wa eneo hilo…
Yanga SC watambulisha jezi yao mpya
Yanga SC leo wametambulisha jezi zao mpya watakazotumia Kimataifa katika msimu wa 2024/2025 wa CAF Champions League, jezi zimezinduliwa za aina tatu, nyumbani, ugenini na jezi mbadala (third kit).
Wanajeshi wa Korea Kaskazini wanaweza kuongezeka hadi 100,000 kwenye mpaka wa Urusi na Ukraine
Rais wa Ukraine Volodymyr Zelenskyy ametoa wito wa kuchukuliwa hatua za kimataifa dhidi ya kuongezeka kwa idadi ya wanajeshi wa Korea Kaskazini magharibi mwa Urusi. Zelenskyy aliyasema hayo katika hotuba…
Trump ahudhuria uzinduzi wa roketi ya SpaceX ,hii ni ishara ya kukua kwa ukaribu wake na Musk
Rais mteule wa Marekani Donald Trump ameshuhudia uzinduzi wa majaribio ya chombo kikubwa cha anga za juu kinachotengenezwa na SpaceX cha Elon Musk, katika kile ambacho vyombo vya habari vya…
Waendesha mashitaka wakubaliana kuchelewesha hukumu ya Rais mteule Donald Trump
Waendesha mashtaka mjini New York wameiambia mahakama kuu ya jimbo hilo kwamba watakubali kucheleweshwa kwa hukumu ya rais mteule Donald Trump kwa kukutwa na hatia ya ulaghai wa pesa, lakini…
Naibu Waziri Mahundi aipongeza Taifa Stars, kufanikiwa kufuzu kucheza AFCON
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars Jumanne 19, November 2024 ilifanikiwa kufuzu kucheza AFCON kwa mara ya nne katika historia baada ya kuifunga Guinea goli 1-0 lililofungwa na Simon…
Yeyote atakayetuletea mateka na mateka watakao achiwa huru watazawadiwa dola Mil 5 :Netanyahu
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alisema dola milioni 5 zitatolewa kama zawadi kwa kila mateka aliyeachiliwa kutoka Gaza na wale ambao watasaidia kuwakomboa Waisraeli wanaoshikiliwa na Hamas watapewa njia…
Mwanariadha wa jeshi la polisi ang’ara nchini Uingereza, avunja rekodi
Mwanariadha wa Jeshi la Polisi Konstebo Transfora Mussa ameibuka mshindi wa kwanza kwa upande wa wanawake kupitia mbio za kilometa 10 katika mbio za Fulham 10k zilizofanyika Nchini Uingereza Novemba…
Rihanna ashika nafasi ya 3 mwanamziki bora wa Pop Karne ya 21
Rihanna ameshika nafasi ya 3 kwenye orodha ya Billboard ya Waimba Pop 25 Wakubwa Zaidi wa Karne ya 21 baada ya kuja Marekani kutoka Barbados akiwa kijana, na alitambulika kwa…