Netanyahu anakataa ombi la kupanua mamlaka ya timu ya mazungumzo na Hamas
Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu alikataa ombi kutoka kwa timu yake ya mazungumzo ya kupanua mamlaka yake, ambayo ingewezesha maendeleo katika mpango wa kubadilishana wafungwa na Hamas, vyombo vya…
Simba SC wazindua jezi mpya za mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika
Simba SC wamezindua jezi mpya za mashindano ya Kombe la Shirikisho Afrika ambazo watazitumia katika michezo yao yote ya Kimataifa ya msimu 2024/25. Simba wamezindua jezi hizo za aina…
Marekani yaidhinisha uwezekano wa mauzo ya vifaa vya kijeshi kwa Ukraine
Wizara ya Mambo ya Nje ya Marekani mnamo Jumanne iliidhinisha uuzaji wa zana na huduma za kijeshi unaoweza kuwa wa dola milioni 100 kwa Ukraine. "Uuzaji huu unaopendekezwa utasaidia…
Wataalamu wa manunuzi wapewa maagizo,Rushwa yapigwa marufuku
Katibu Tawala Mkoa wa Arusha (RAS), Musa Miseile amewataka wataalamu wa ununuzi hapa Nchini(PSPTB), kuwa wazalendo kwa kuzingatia maadili, weledi, kanuni na taratibu katika kutekeleza majukumu yao ya Ununuzi. Missaile…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 20, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 20, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 20, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 20, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Taswa yaipongeza TFF kufuzu kwa Stars AFCON
Chama cha Waandishi wa Habari za Michezo Tanzania (TASWA) kimetoa pongezi kwa Shirikisho la Mpira wa Miguu Tanzania (TFF), Kaimu Kocha Mkuu wa Taifa Stars, Hemed Suleiman ‘Morocco’, wasaidizi wake…
Rais Mwinyi kumuwakilisha Rais Samia mkutano wa SADC
Rais wa Zanzibar na Mwenyekiti wa Baraza la Mapinduzi Dk, Hussein Ali Mwinyi ameondoka Zanzibar leo tarehe 19 Novemba 2024 kwenda Zimbabwe kuhudhuria Mkutano wa Viongozi Wakuu wa nchi Wanachama…
Taifa Stars inafanikiwa kufuzu kucheza AFCON baada ya kuichapa Guinea
Timu ya Taifa ya Tanzania Taifa Stars inafanikiwa kufuzu kucheza AFCON kwa mara ya nne katika historia baada ya kuifunga Guinea goli 1-0 lililofungwa na Simon Msuva dakika ya 61.…
Nyota wa Sporting tayari amezungumza na Amorim kuhusu uhamisho wa kwenda Manchester United
Meneja mpya wa Manchester United Ruben Amorim anaweza kuwa tayari amefanya kazi ya kumleta mmoja wa wachezaji wake nyota wa zamani wa Sporting Lisbon hadi Old Trafford. Mtaalamu huyo wa…