Kuanzia Januari 2025, vivuko vitakuwa vinasubiria abiria, Sea Tax kuongezwa Dar: Bashungwa
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameeleza kuwa Serikali kupitia Wakala wa Ufundi na Umeme (TEMESA) kwa kushirikiana Kampuni ya Azam Marine zinaendelea kuboresha utoaji wa huduma za usafiri wa vivuko…
GSM asherekea birthday yake kipekee atoa zaidi ya Sh Mil 100 Kongwa
Mdhamini na Mfadhili wa Yanga SC Ghalib Said Mohammed (GSM) leo amesherehekea kumbukumbu ya siku yake ya kuzaliwa kwa namna ya kipekee Kongwa jijini Dodoma. GSM amesherehekea kwa kutoa msaada…
Mfungaji Bora wa Juventus Vlahović kukosa mechi muhimu dhidi ya Milan
Siku ya Jumamosi, Juventus itamenyana na Milan katika mechi muhimu ya raundi ya 13 ya Serie A lakini hata hivyo, upande wa Turin watakuwa bila mmoja wa wachezaji wao muhimu…
Joshua Zirkzee kujiunga na Napoli mbadala wa Osimhen
Manchester United wanatazamia kufanya mabadilishano ambayo yatamfanya mshambuliaji Joshua Zirkzee ajiunge na Napoli badala ya Victor Osimhen, kwa mujibu wa ripoti za michezo. Zirkzee, 23, alisajiliwa tu kutoka Bologna kwa…
GSM achangia Milioni 60 maboresho kituo cha Afya
Rais wa @gsmgroupofcompanies mdhamini na mfadhili wa klabu ya Yanga Ghalib Said Mohamed 'GSM' akiwa anasheherekea siku yake ya kuzaliwa hii leo amechangia Tsh milioni 60 kwa ajili ya maboresho…
Sakata la Niffer, Steve Nyerere afunguka mazito ‘tumuombee msamaha, hajui, tusimuhukumu mtu, chuki’
NI Mwigizaji wa Filamu, Steve Nyerere ameibuka mtandaoni na kuzungumzia sakata la Mjasiriamali Niffer kukamatwa na Jeshi la Polisi baada ya kuchangisha Fedha za maafa ya Ajali ya Kariakoo pasipokuwa…
Katika kuelekea uchaguzi wa serikali za mitaa,Wanaharakati waomba uhuru wa upatikanaji wa Intaneti
Katika kuelekea Uchaguzi wa serikali za mitaa unaosimamiwa na TAMISEMI, unaotarajiwa kufanyika nchi nzima tarehe 27 Novemba mwaka huu, ambapo Watanzania watapata fursa ya kuwachagua Mwenyekiti wa Kijiji, Mwenyekiti wa…
Vieira kuchukua nafasi ya Gilardino
Kocha wa zamani wa Crystal Palace Patrick Vieira anahusishwa na kuhamia Italia. Mfaransa huyo yuko mbioni kuchukua nafasi ya Alberto Gilardino kama kocha wa Genoa. Mtaalamu wa uhamisho Fabrizio Romano…
Tarehe ya mwisho ya uamuzi wa Guardiola Man City yafichuliwa
Manchester City wamemwekea meneja Pep Guardiola makataa ya kufanya uamuzi juu ya mkataba mpya. Kwa sasa, mkataba wa Guardiola unatarajiwa kukamilika mwishoni mwa msimu huu, ingawa City wana nia ya…
Diva na Niffer wakamatwa na kufanyiwa uchunguzi kwa kosa la kuchangisha fedha kinyume na sheria
Kamanda wa Polisi Kanda Maalum ya Dar es Salaam, SACP, Muliro Jumanne Muliro amesema wanamshikilia na kuwahoji, Diva Malinzi (36) mkazi wa Mikocheni na Jenifer Jovin Bilikwija 25. Akizungumza na…