RC Singida atumia kipaji chake kuimba kumchangia mlemavu wa ngozi
Mkuu wa mkoa wa Singida Halima Dendego ameamua kutumia kipaji chake cha Sanaa kwa kuimba nyimbo ya msanii Mbilia Bel inayoitwa Nakei Nairobi kwa kumchangia walemavu wa Ngozi wa familia…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 16, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 16, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 16, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 16, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
TRA yawakalisha chini NGO’s Singida,lipeni kodi kwa wakati
Mamlaka ya mapato Tanzazi TRA imewataka wateja wake kulipa kodi kwa wakati ili kuondokana na kupigwa faini kwani mteja akichelewa kulipa kodi atakutana na riba jambo ambalo si zuri kwa…
Wafungwa kuanza kupewa ujuzi gerezani na vyeti vinavyotambuliwa na Veta: Bashungwa
Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi, Innnocent Bashungwa amelitaka Jeshi la Magereza kusimamia kikamilifu mpango wa kuwapa ujuzi na mafunzo ya ufundi stadi Wafungwa wanapokuwa Gerezani na watakaohitimu mafunzo…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo February 15, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania February 15, 2025,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo February 15, 2025
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam February 15, 2025, nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Samia Infrastructure Bond imevuka lengo kwa asilimia 115
Ikiwa katika maadhimisho ya miaka 30 tokea kuanzishwa kwake, Benki ya CRDB imetangaza mafanikio makubwa ya hatifungani ya miundombinu ya ‘Samia Infrastructure Bond,’ ambayo imevuka lengo kwa asilimia 115, ikikusanya…
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi yaanza kuwabana wamiliki wote wa ardhi wasiolipa kodi ya pango
Wizara ya Ardhi Nyumba na Maendeleo ya Makazi imeanza kuwabana wamiliki wote wa ardhi wasiolipa kodi ya pango la ardhi sambamba na kutoendeleza maeneo wanayomiliki. Wakiwa katika ziara ya kukagua…
Wizara ya Ardhi Mkoa wa Tanga Yadai Wamiliki wa Maeneo Makubwa Shilingi Bilioni 2.5
Wizara ya Ardhi, Nyumba na Maendeleo ya Makazi Mkoa wa Tanga inawadai wamiliki wa maeneo makubwa kiasi cha Shilingi bilioni 3.4 ikiwa ni malimbikizo ya muda mrefu ya madeni yanayotokana…