Kocha wa zamani wa Ujerumani Low afunguka jinsi alivyompata Musiala kutoka Uingereza
Kocha wa zamani wa Ujerumani Joachim Low amekiri kumpata Jamal Musiala kwa Die Mannschaft kwa ahadi maalum. Kiungo huyo wa zamani wa Chelsea amecheza soka lake la ujana akiwa na…
Wanufaika mikopo asilimia 10 Mji Ifakara wasisitizwa kurejesha Kwa wakati
Mkuu wa Wilaya ya Kilombero Mhe. Wakili Dunstan Kyobya amezindua rasmi zoezi la utoaji wa Mikopo ya asilimia 10 kwa Vikundi vya Wanawake , Vijana na Watu wenye ulemavu ,…
Kanisa Katoliki Kenya lakataa Mchango wa Rais William Ruto
Baraza la Maaskofu wa Katoliki Kenya (KCCB) limekataa mchango wa Shilingi za Kenya milioni 5.6 (takriban Shilingi za Kitanzania milioni 104) uliotolewa na Rais William Ruto na Gavana wa Nairobi,…
Kiongozi wa upinzani Somaliland ashinda uchaguzi wa rais
Kiongozi wa upinzani katika eneo lililojitenga la Somalia la Somaliland alishinda uchaguzi wa wiki iliyopita, tume ya uchaguzi ilisema Jumanne. Abdirahman Mohamed Abdullahi wa chama kikuu cha upinzani cha Waddani…
Vita vya Urusi dhidi ya Ukraine vyaingia siku ya 1,000 UM waonya juu ya kuongezeka kwa uharibifu
Umoja wa Mataifa siku ya Jumatatu ulisisitiza hatua mbaya ya siku 1,000 tangu kuanza kwa vita vya Urusi dhidi ya Ukraine, ikionyesha hali mbaya ya mzozo huo kwa raia. "Siku…
Putin atoa hati ya onyo kwa Marekani, mashambulizi mapya ya nyuklia
Rais wa Urusi Vladimir Putin siku ya Jumanne alitia saini agizo la kuruhusu Moscow kutumia silaha za nyuklia pamoja na ndege zisizo na rubani dhidi ya taifa lisilo la nyuklia…
Mataifa ya G20 wameunga mkono pendekezo la kusitisha mapigano huko Gaza na Lebanon
Viongozi wa G20 wameunga mkono "pamoja" mipango ya kusitisha mapigano huko Gaza na Lebanon, na kukaribisha mipango yote "ya kujenga" ya kumaliza vita vya Ukraine na kufikia amani "ya kudumu".…
Rais Samia aongeza saa 24 za uokoaji, ni baada ya saa 72 kupita, atoa ujumbe mzito
Rais wa Jamhuri ya muungano wa Tanzania Dkt.Samia Suluhu Hassan amemuagiza Waziri Mkuu Kassim Majaliwa kuongeza saa 24 za uokoaji katika jengo lililoporomoka eneo la Kariakoo jumamosi ya novemba 16…
CCM,CHADEMA kukutana jukwaani, msimamizi wa uchaguzi Njombe mjini ataka kampeni za amani
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya mji wa Njombe,Kuruthum Sadick amewataka wananchi mjini humo kujitokeza katika kampeni za vyama vya siasa zinazoanza November 20 hadi 26 ili kusikiliza sera zitakazowasaidia kuchagua…
Rais Samia awalipia viingilio wote kuitazama mechi ya Tanzania dhidi ya Guinea
Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Dkt. Samia Suluhu Hassan awalipia viingilio watanzania wote kwenda uwanjani na kushuhudia mchezo wa Tanzania dhidi ya Guinea, Mechi hiyo ya kufuzu…