Afrika CDC yaitaka Marekani kutathmini upya angalizo lake la usafiri nchini Rwanda
Kituo cha Kudhibiti na Kukinga Magonjwa cha Afrika (Africa CDC) kimeitaka Marekani kutathmini upya angalizo lake la ngazi ya 3 la kutosafiri nchini Rwanda ili kukabiliana na mlipuko wa ugonjwa…
Nigeria yaanza mpango wa chanjo ya mpox uliyocheleweshwa
Nchi ya Nigeria, imeanza kutoa chanjo dhidi ya ugonjwa wa Mpox, ambapo walioanziwa ni wahudumu wa afya na raia wenye kingamwili duni katika hospitali za jiji la Abuja. Chanjo hii…
Zaidi ya waandamanaji 40,000 wapinga mswada New Zealand
Makumi kwa maelfu ya waandamanaji wamekusanyika nje ya Bunge la New Zealand kupinga mswada ambao wakosoaji wanasema ungeumiza haki za watu wa Maori. Takriban watu 42,000 waliandamana Jumanne, wakitoa wito…
Upinzani wataka matokeo ya uchaguzi wa urais kubatilishwa
Chama kikongwe cha upinzani nchini Msumbiji, Renamo, sasa kinataka matokeo ya uchaguzi yaliyokipa ushindi chama tawala Frelimo yabatilishwe, wakati huu kinara wa upinzani nchini humo akiitisha maandamano zaidi ya raia.…
Trump athibitisha mipango wa kijeshi kuwatimua wahamiaji haramu
Rais mteule wa Marekani Donald Trump Jumatatu (Nov. 18) alithibitisha kwamba ataendeleza mpango wake wa kutangaza "dharura ya kitaifa" nchini humo kwa ajili ya kuwafukuza wahamiaji haramu huku akitumia "mali…
Kituo cha umeme Kinyerezi chafanyiwa upanuzi; Transfoma za MVA 175 zafungwa
Naibu Waziri wa Nishati Mhe. Judith Kapinga amesema ukuaji wa kasi wa maendeleo na uchumi katika Mkoa wa Dar es Salaam unachangia kwa kiasi kikubwa kuwepo kwa ongezeko la mahitaji…
Bashungwa aagiza Tanroads kufunga mizani 3 yakupima uzito Tunduma
Waziri wa Ujenzi, Innocent Bashungwa ameuelekeza Wakala ya Barabara (TANROADS) kufunga mizani mitatu inayohamishika (mobile weighbridge) ya kudhibiti uzito wa magari katika eneo la Tunduma ili kuongeza kasi ya upimaji…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 19, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 19, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 19, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
EABC na TCCIA wakubaliana kukuza ujasiriamali kwa vijana Tanzania
Tanzania Chamber Of Commerce, Industry and Agriculture (TCCIA) na East Africa Business Consortium (EABC) leotarehe 18 Novemba 2024, wameingia kwenye makubaliano yaushirikiano (MOU) ili kukuza Ujasiriamali nchini Tanzania hususani kwa…