Serikali kutatua changamoto ya mashine ya kuchakata mkonge Tanga
Naibu Katibu Mkuu wa Wizara ya Kilimo, Suleiman Serera amekutana na viongozi wa Vyama vya Ushirika na Masoko vya Mkonge (AMCOS) katika wilaya ya Korogwe, mkoani Tanga, ambapo ameahidi kutatua…
Neymar amefikia makubaliano ya kujiunga tena na Santos mwaka 2025
Neymar amefikia makubaliano ya kujiunga tena na Santos mwaka 2025, kulingana na ripoti za kustaajabisha nchini Brazil. Mchezaji huyo mwenye umri wa miaka 32 amekabiliwa na majeraha katika klabu ya…
Vilio vyatawala, kuwaaga waliofariki katika ajali ya Kariakoo, wanajeshi wayabeba majeneza 15
Miili 13 ya Watu waliofariki baada ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo, inaagwa leo November 18,2024 kuanzia saa saba mchana hadi saa kumi jioni katika viwanja vya Mnazimmoja Jijini Dar es…
Manchester United, Eriksen Kuachana mwishoni wa msimu huu
Kiungo wa kati wa Manchester United na Denmark Christian Eriksen wanatarajiwa kuachana na Klabu hiyo mwishoni mwa msimu huu. Eriksen alikuwa sehemu ya kikosi cha Denmark kilichofungwa 2-1 nyumbani Ijumaa…
Hakuna mazungumzo ya kuondoka Al Hilal kwa Neymar
Wakala wa Neymar Pini Zahavi amesema kuwa hakuna mazungumzo yoyote yanayoendelea juu ya Neymar kuondoka Al Hilal kama ilivyoripotiwa "Hakuna mazungumzo ya kuondoka Al Hilal, Neymar yupo chini ya mkataba…
Watanzania waungana kuaga miili ya waliofariki kwenye ajali ya jengo Kariakoo
Taratibu ya kuaga miili ya watu waliofariki kwenye ajali ya jengo lililoanguka Novemba 16 Kariakoo Jijini Dar es Salaam yanaendelea kwenye viwanja vya Mnazi Mmoja licha ya kuwepo na hali…
Davido shilingia Tsh milioni 470.1 kwa watoto yatima
Nyota kutokea nchini Davido ametangaza kutoa msaada wa Naira milioni 300 ambazo ni sawa na kiasi cha shilingi milioni 470.1 za kitanzania kusaidia waathirika wa dawa za kulevya pamoja na…
Ronaldo anamtaka Mohamed Salah ajiunge Al-Nassr FC
Cristiano Ronaldo ameutaka uongozi wa Klabu ya Soka ya Al-Nassr ya Saudi Arabia kumsajili nyota wa Misri, Mohamed Salah, anayeichezea Liverpool FC ya Ligi Kuu ya Uingereza. Mkataba wa Salah…
Saudi Arabia imeidhinisha kukaribisha mahujaji 1,000 kwaajili ya ibada ya Hija kutoka nchi 66
Mfalme Salman wa Saudi Arabia ameidhinisha kukaribishwa kwa mahujaji 1,000 kutoka nchi 66 kufanya Umra kama sehemu ya Mpango wa Misikiti Miwili Mitakatifu kwa ajili ya Hija, Umra Mahujaji hao…
PICHA :Ibada ya mazishi ya mzee King Kikii Leaders
Kutoka Leaders Muda huu ibada na shughuli za mazishi ya mwanamuziki Mkongwe mzee King Kikii, zikiendelea ambapo Waziri wa Utamaduni sanaa na Michezo Dkt Ndumbaro akiwaongoza watu na wadau Mbali…