Christian Pulisic anawindwa na vilabu vitatu vya Premier League
Liverpool, Manchester United na West Ham United zote zinamtaka nyota wa AC Milan Christian Pulisic, hii ni kwamujibu wa ripoti ya Calciomercato. Rossoneri hataki mchezaji huyo wa kimataifa wa Marekani…
Jeshi ladai wanamgambo 150 wa RSF wauawa Magharibi mwa Sudan
Jeshi la Sudan (SAF) Jumapili lilitangaza kuwa askari 150 wa Vikosi vya Msaada wa Haraka (RSF) waliuawa kwenye mapambano huko El Fasher, mji mkuu wa jimbo la Darfur Kaskazini, magharibi…
Korea Kusini yaishutumu Kaskazini kwa kukwamisha mfumo wake wa GPS kwa siku 10 mfululizo
Korea Kusini Jumapili ilidai kwamba Korea Kaskazini imekuwa ikiweka mfumo wake wa Global Positioning System (GPS) kuvuka mpaka kwa siku 10 mfululizo. Jeshi la Korea Kusini liligundua msongamano wa GPS…
Wananchi Gabon wapiga kura ya ‘Ndio’ kwa Katiba kwa 91.80%
Watawala wa kijeshi wa Gabon walisema katiba mpya imeidhinishwa kwa wingi katika kura ya maoni, kulingana na matokeo ya muda yaliyochapishwa Jumapili. Akizungumza kwenye runinga ya taifa, waziri wa mambo…
Iran yakanusha kufanya mkutano wa siri na Elon Musk
Iran imekanusha mazungumzo ya siri kati ya balozi wa Iran katika Umoja wa Mataifa na Elon Musk ili kupunguza mvutano kati yake na Marekani, miezi miwili kabla ya Rais mpya…
Ulinzi wa taarifa binafsi ni jukumu la kila mmoja wetu : Naibu Waziri Mahundi
Naibu Waziri wa Habari, Mawasiliano na Teknolojia ya Habari, Mhandisi Maryprisca Mahundi ameitaka jamii kushirikiana na viongozi wa kisekta, watetezi wa Faragha na uhuru wa Raia ili kuwa na taifa…
Biden atoa ruksa kwa Ukraine kutumia makombora ya masafa marefu ya Marekani nchini Urusi
Marekani imetoa idhini kwa Ukraine kushambulia Urusi kwa makombora ya masafa marefu ambayo iliipa. Afisa wa Marekani ameliambia shirika la habari la AFP siku ya Jumapili, Novemba 17, akibainisha habari…
Papa ataka uchunguzi wa ‘mauaji ya halaiki’ ya Gaza
Papa Francis kwa mara ya kwanza alizungumzia madai ya "mauaji ya halaiki" yanayoendelea Israel ya Wapalestina huko Gaza katika kitabu kinachotarajiwa kuchapishwa , akihimiza uchunguzi zaidi kama hatua za Israeli…
Njombe TC wataka wazazi kuona umuhimu wa kupeleka watoto kwenye shule za malezi (Chekechea)
Mwenyekiti wa halmashauri ya mji wa Njombe mkoani Njombe Erasto Mpete ameagiza wamiliki na wasimamizi wa shule za kulea watoto (Day care) kuzingatia miongozo ya uanzishaji wa shule hizo ikiwa…
PPRA na FDH wawapa darasa la matumizi ya mfumo wa Nest wenye ulemavu zaidi ya 200 Dodoma
Watu wenye ulemavu zaidi ya 200 wamepatiwa mafunzo ya sheria ya manunuzi na fursa zilizopo kwa makundi maalum na matumizi ya mfumo wa Nest ya PPRA ili wanufaike na asilimia…