Miili 13 ya waliofariki tukio la Kariakoo kuagwa tarehe 18 :RC Chalamila
Mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Albert Chalamila amesema miili 13 ya watu waliofariki baada ya kuporomoka kwa ghorofa Kariakoo, itaagwa Novemba 18, 2024 katika viwanja vya Mnazi Mmoja…
Jeshi la polisi Mkoani Morogoro kuchunguza kifo cha Aron
Jeshi la Polisi Mkoani Morogoro linaendelea na uchunguzi wa tukio la Kifo Cha kijana mmoja aliyefahamika Kwa jina la Aron Aron mwenye umri wa miaka 16 mkazi wa Mtaa wa…
Hamasa za kushiriki uchaguzi Serikali za mitaa waendelea Morogoro Mjini
Zikiwa zimebaki siku chache kuelekea siku ya uchaguzi wa Serikali za mitaa November 27 mwaka huu Wilaya ya Morogoro kupitia Viongozi wake imeendelea kuandaa matamasha ya kuhamasisha zoezi la wananchi…
Mkurugenzi Mji Ifakara aacha kununua gari anunua pikipiki za watendaji kata
Katika kuendelea kuweka Mazingira rafiki ya ufanyaji Kazi kwa watendaji wa Kata Halmshauri ya Mji Ifakara Wilaya ya Kilombero mkoani Morogoro Mkurugenzi Mtendaji Halmashuri hiyo Bi. Zahara Michuzi ameacha kunununulia…
Habari kubwa Magazetini Kenya leo November 18, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Tanzania November 18, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma Magazetini kenya.
Habari kubwa za Magazeti ya Tanzania leo November 18, 2024
Good Morning Mtu wangu wa nguvu kutoka Dar es salaam November 18, 2024,nakukaribisha kutazama kile kilichoandikwa katika kurasa za mbele na za nyuma za Magazeti ya Tanzania.
Familia ya Malcom X yaishitaki FBI na CIA
Familia ya Malcolm X ilishtaki vyombo vya sheria vya shirikisho na Idara ya Polisi ya New York (NYPD) siku ya Ijumaa kwa madai ya kupanga njama ya kumuua kiongozi huyo…
Auawa kwa kunywesha Ciment
Mwili wa mwanaume ambaye Jina lake halijafahamika umekutwa umeuwawa vichakani ukiwa na jeraha usoni huku ikioneshwa kunyweshwa simenti. Mwili wa mtu huyo umeonekan katika vichaka vya mlima wa Uledi kata…
Msimamizi wa uchaguzi ateta na viongozi wa dini na makundi mbalimbali halmashauri ya wilaya ya Bagamoyo
Msimamizi wa Uchaguzi Halmashauri ya Wilaya ya Bagamoyo Shauri Selenda ametoa wito kwa viongozi wa Dini na makundi mbalimbali kwenye jamii kuhakikisha wanahamasiha wananchi kujitokeza na Kwenda kupiga kura siku…
Ajali mbaya yatokea Geita usiku wa kuamkia leo
Ajali mbaya iliyohusisha Magari Mawili ikiwemo Gari la Abiria (Basi) lenye namba za usajili T. 963 DSR na Gari aina ya Kluger T. 425 DQE zimegongana uso kwa uso katika…